


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteI miss Bongo. Raha iliyoje kuchapa mpunga wa harusi, it doesn't taste the same, compared to the one at home. isn't it?
I really miss Bongo.
Michuzi nimekukubali wewe uko kila sehemu mara unakula kuku na Mafisadi na siku nyingine unajichanganya uswahilini kwa walalahoi. Lakini acha kubania comments zinawapiga madongo washikaji zako MAFISADI.
ReplyDeletehongeara maharusi,
ReplyDeleteAaaaaaa, Michuzi bwana umenikumbusha huo mwimbo nilikua naupenda sana... Nishike mkono,tuwaonyeshe kweli tunapendana ha... nilishe nikulishe... mbuzi ishara ya upendo o,
Ni Kasongo Mpinda aliimba? Sasa umenikumbusha mbali zaidi, my other favorite was...Ufitina...na upelelezi ni sumu ya mapeeeenzi...tumependana wenyewe bila nyinyi kujuaaaa...sasa mwajua mwaanza kuleta matatizo...mimi kupendwa na yeyeee...nyinyi mwakerwa nanini yo yo yo yo...
Michuuuuuu, those days, Mtafute Kasongo Bwana Balozi, yuko wapi siku hizi? Mpige interview ya nguvu humu globuni na picha nyingi, ntashukuru sana mzee ukifanya hilo. He was the best.
Kasongo Mpinda's fan.
OMG namiss hilo pilau mweee. yaani la kupika kwa wingi hivyo, jiko la mkaa linanoga kweli....
ReplyDeletehongera maarusi
Duh, kachumbari kwenye bakuli la purple imetulia,
ReplyDeletedah michuzi unanikumbusha mbali sana.. yan leo umeniwekee pic za kitaa M/NYAMALA KWA MAMA Z. vp aujapiga pic sehem nyingine like M/NYAMALA UJIJI.. M/NYAMALA KWA MANJUNJU weka hizo pic kama umepiga broo nimemiss sana mitaa yangu hiyo na masera wangu kwa sana, mdau UK
ReplyDeletedah michuzi unanikumbusha mbali sana.. yan leo umeniwekee pic za kitaa M/NYAMALA KWA MAMA Z. vp aujapiga pic sehem nyingine like M/NYAMALA UJIJI.. M/NYAMALA KWA MANJUNJU weka hizo pic kama umepiga broo nimemiss sana mitaa yangu hiyo na masera wangu kwa sana, mdau UK
ReplyDeleteHongera bwana na bibi harusi.Mungu awabariki.
ReplyDeleteVery sImple wedding! I really like it.
Kweli nyumbani kuna raha zake,hasa kwa waru waliopo Ughaibuni kuna yale mazuri ya huku na mabaya yake pia.Moja ya ugumu ni social life ambayo ni tofauti kabisa na ile ya kwetu.
ReplyDeleteLakini mtu akisema anamiss nyumbani naona kama amejilipua kwa nani kakukataza kwenda. Mimi huwa nakwenda mara mbili kwa mwaka.Just a matter of plan and strategies only. Tuacheni kujibana kiasi hicho hata wanaolipwa Minimu pay hapa U.K ya paundi 5.80 unaweza ukajibajetia kisawasawa kabisa, kwa walio Marekani cjui kikamilifu lakini nishakutana na washikaji kibao wakitokea huko.
Ujumbe kama unamiss nyumbani wakati huweki efforts za kuja basi humiss wewe ama ni mtumwa wa kazi ama wa talanta.Wakuchonga mchonge sasa.Walavumbi mnanisikia jiandaeni nakuja na paundi Krismass hii
Brother Michuzi nakupa KUDDOS kwa kuwa mtu dynamic. Ukiwa kwenye state business una act accordingly na ukiwa nyumbani sehem sehem una act the way wenyeji should act. Yaani una fit kuishi NY, London, Buguruni, Düsseldorf, Magomeni Mapipa, Johanesburg, Manzese...etc,. You are a true GLOBAL CITIZEN.
ReplyDeletemmependeza jamani..
ReplyDeletemungu awabariki...
mnaonekana ni watu wa furaha!na ibaki hivyo!
Naam hizo ndio harusi zetu za kiafrika, za kiswahili, hazina presha wala nini, sijui mpaka ukatafute holi, mara limo, sijui ugombane na ndugu ambao hukutaka waje harusini kwako kwa sababu wametoa mchango chini ya kiwango, yoote hayo ya nini? Cheki hiyo harusi nafikiri kila aliyekuwepo hapo mtaani alihudhuria, na chakula alikula cha kutosha! Sio kipapatio na kijiko kimoja cha wali, ndizi moja iliyopikwa, na kiazi kimoja!
ReplyDeleteWENZIO TWASEMA TWAPIGA PUNGA, ILA SIJAONA SODA KWA PEMBENI, SI WAJUA KISHUSHIO INCASE UKIKABWA NA NYAMA!!!!!
ReplyDeletedu umeshanitamanisha hiyo pilau yako na mimi naenda kuikoroga yaku sijui kama nitaipatia kama hiyo au?
ReplyDeletehahahahha,nimefurahi kukuona mshkaji Juma wakumeta
ReplyDeleteHaki ya nani vile huyu ni balozi wa nanihii ni msanii kwelikweli. Yaani akiwa na mafisadi kama jamaa alivyodokeza hapo juu basi huwezi jua kama ni mswahili wa maeneo maeneo. Duh! we mkuu wa wilaya ya nanihii msanii kwelikweli. Ila anngalia wasije wakaondoka na kichwa babake kwani nasikia Mengi wamemu-alert wataondoka na kichwa chake. Wa-tz hawana dogo. Big up!!!
ReplyDeletewashikaji na wamisi sana hongera martini,vipi ndugu yetu kitwana amepatwa na maswahibu gani mbona anaonekana mzee kuliko hao kaka zake na anatembea na mkongojo.big up harusi poa sana.
ReplyDeleteDUUUUUH. HAPO ZIMEPUNGUA NDIZI MBIVU TUUU AU VIPI WADAU???????
ReplyDeleteKaka Michu, Balozi wa Zein na Mkuu wa wilaya ya nanii, hilo neno Post A comment huwezi kuliweka kwa kiswahili aisee( au unamana kuliacha hivyo)
ReplyDeleteHuyo Balck Moses ni yule alikuwa mcheza Dance enzi hizo au ni mwingine?
Shukrani kaka Michuzi kwa kutuwekea picha za harusi ya brother Skina kwa kweli nimefurahi sana kwani ni muda miaka mingi sijamuona,nakumbuka tulikuwa tunafanya naye mazoezi pale shule ya karume magomeni mwembe chai na timu yetu ya Kagera Rangers,nilikuwa nimemsahau kabisa mpaka nilivyorudia kuangalia picha na kurudisha memory ndiyo nikajua ni brother Skina.Mungu aibariki ndoa yenu.Ni mimi Niger Boy(Peter Dawo)
ReplyDeleteHongera maharusi na nawatakieni maisha marefu pa,oja. pia hongera kwa kudumisha mila na desturi za harusi za kikwetu, wengi siku hizi wanapofunga ndoa waanaiga desturi na mila za kigeni, ushindani na kujionyesha tu!
ReplyDeleteDah harusi ya kiswahili sana, angalia pilau ilipowekwa uchafu mtupu , ndio maana nachukia Africa ni uchafu na hakuna aliye ona hilo , najuliza uandaaji wa hicho chakula ulivyo kichafu .uchafu , uchafu , uchafu .
ReplyDeleteWe mshamba wa UK 8:28am hivi unajua maana ya neno kumiss. Unaweza ukatoka jana home na still leo ukakumiss home kishenzi . Hilo lipilau nimelila summer hii na bado nimeliona hapo na ukweli ni kuwa hata mimi nalimiss.
ReplyDeleteSherehe kama hizi za bongo ukipanda tu ndege kuondoka unaanza kumiss it is not the matter of how many times you visit the country.
Wewe kama ni mwanaume au mwanamke si una mwenzi wako...? why missing her/him akiwa ameenda tu japo kazini. If you don't miss her/him you have no feelings.....Na wanaosema wanamiss whatever wanafeeling na it is a huma nature.....
Pilau linaonekana zuri na harusi yao very simple...I like that....
Hii inaitwa Harusi Dume. Vinjwaji hamna angalau wangeweka gudulia la maji watu watumie kushushia pilau. Kabila nyingine mfano Wachaga kwenye shughuli kama hii ni bora uwawekee mbege kuliko pilau
ReplyDeleteEwe msafi wa 11:10, una uhakika hicho unachokula mahotelini ni kisafi? Eti harusi za kiswahili uchafu mtupu, unajua unaweza kumsoma mtu mara moja, ukajua tu ni mtu aliyetokea wapi. Hii harusi ni nonstalgia imekukumbusha ulikotoka, imekukumbusha maisha yako yalivyokuwa kabla hujaondoka huko uswahili kuchafu na kwenda uzunguni kusafi, lakini kumbuka mdharau kwao mtumwa! Iko siku utarudi tu huko kuchafu aidha kwa miguu yako au sandukuni, kwani kwenu ni kwenu tu!
ReplyDeletewewe unayesema uchafu,, hebu jirekebishe umeshakuwa mkubwa sasa,kitendo cha kutoka nchini kimekupa kichwa,.
ReplyDeletepilau linaonekana tamu tuu,na lina mvuto.harusi nzuri imependeza bila waalikwa na maaharusi wanafuraha pia..
kwenu maharusi nawatakila kila liliojema,, maisha mema yenye furaha tete,
Hongera sana maharusi! Mwenyezi Mungu aijalie ndoa yenu iwe na amani na furaha tele! Michu hivi kweli na uislamu wote hata kanzu huna ya kuendea kwenye shughuli kama hii!! Unatuangusha!!
ReplyDelete