WADAU WENGI WAMESHALIZWA BAADA YA KUPOKEA UJUMBE KAMA HUU NA KUUJIBU. GLOBU YA JAMII INATOA TAHADHARI KWA WADAU WOTE KWAMBA UPATAPO UJUMBE WA AINA HII TOKA POPOTE UJUE NI FEKI. UKIINGIA MKENGE NA KUTOA DETAILS ZAKO UJUE UMEJIUMIZA MWENYEWE. ACHANA NAO NA UPIGIE CHINI KWANI SI YAHOO WALA HUDUMA YOYOTE YA BARUA PEPE WENYE KUFANYA HIVYO!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Unless you don't know the world of internet, then you gonna reply it, how on earth are you gonna entertain it!! those things are normal and idiots are jumping in them blindly.

    ReplyDelete
  2. Wa-Nigeria hao...wamewaliza wengi..hakuna cha bure ndugu zangu...hii siyo enzi ya Mwalimu (J.K) wa Butiama....watch out..!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...