
Vilevile Wahapahapa Band wata tambulisha Albamu yao iitwayo BARUA itakayo zinduliwa mwakani.Ashimba jina jipya katika fani lenye mambo makubwa! Ashimba atatambulisha NURU NYIKANI Albamu itakayo zinduliwa mwanzoni mwa mwaka 2009.
Ashimba anafanya kazi chini ya Maisha Music.Wasanii wengine watakao shiriki katika onesho hili ni Vitali Maembe, Misoji Nkwabi wote kutoka Bagamoyo. Antonia Kutoka Ujerumani. Sqeezer naye atakuwepo pamoja na wasanii wengine wengi!
Karibuni wote
Kiingilio dezo!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...