Ibada ya Kiswahili Reading Uk
(NENO JEMA KUMSHUKURU MUNGU NA KUMWIMBIA YEYE ALIYE JUU)
(NENO JEMA KUMSHUKURU MUNGU NA KUMWIMBIA YEYE ALIYE JUU)
LA KILUTHERI TANZANIA ATAKUWA READING 25/01/09
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
Alex Gehazi Malasusa
Ibada ya Kiswahili Reading inayoongozwa na Mchungaji Tumaini Kallaghe, wanayofuraha kubwa kuwakaribisha kwenye ibada ya tarehe 25 Januari 2009 ambayo itakuwa ibada kuu ya kumshukuru Mungu kwa kutuingiza mwaka 2009.
Mhubiri na Mgeni rasmi katika Ibada hiyo atakuwa Askofu Mkuu wa KKKT ASKOFU ALEX GEHAZI MALASUSA
Ibada itafanyika katika ukumbi wa:
Odd Fellows Hall
118B Oxford Road
RG1 7NQ
KUANZIA SAA 9.00 MCHANA (3.00PM)
Ukishuka stesheni chukua basi nos: 16 or 15 kisha ushuke Waylene bus stop Oxford Road
For information:
mchungaji@stanneslutheranchurch.org
Mchungaji: Tel.07983087998/
Aljanes Rwiza(Baba Ian)- 07900008211
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Alex Gehazi Malasusa
Ibada ya Kiswahili Reading inayoongozwa na Mchungaji Tumaini Kallaghe, wanayofuraha kubwa kuwakaribisha kwenye ibada ya tarehe 25 Januari 2009 ambayo itakuwa ibada kuu ya kumshukuru Mungu kwa kutuingiza mwaka 2009.
Mhubiri na Mgeni rasmi katika Ibada hiyo atakuwa Askofu Mkuu wa KKKT ASKOFU ALEX GEHAZI MALASUSA
Ibada itafanyika katika ukumbi wa:
Odd Fellows Hall
118B Oxford Road
RG1 7NQ
KUANZIA SAA 9.00 MCHANA (3.00PM)
Ukishuka stesheni chukua basi nos: 16 or 15 kisha ushuke Waylene bus stop Oxford Road
For information:
mchungaji@stanneslutheranchurch.org
Mchungaji: Tel.07983087998/
Aljanes Rwiza(Baba Ian)- 07900008211

haya jamani wale wa Reading....nendeni mkasikilize neno la mungu..kama tu vile mnavyoshabikia taarab,majungu,umbea,kuibiana wake/waume...na Mungu pia mpeni nafasi yake.
ReplyDeleteX-Reading member,USA
Pamoja na Askofu Malasusa kuhubiri Reading Januari 25, 2009, naomba ujaribu kutafuta kulikoni na tovuti ya serikali ya kuzungumzia masuala yetu hapa duniani (nchini)
ReplyDeletehttp://www.wananchi.go.tz/
Kama serikali haiwezi kujibu maswali yetu, iifute kabisa tovuti hiyo!
Heri waombewe hao, maana duh nimejua mengi kama vile niko huko vile, na sijui lipi la kweli lipi na uongo. Huyo shetani aliyewaingilia ashindwe na alegee.
ReplyDeletehuyu nae siyo yani siku hizi hata dini wizi mtu jamaa hakuna atakaye poa kiama kikikaribia
ReplyDeletehuyu mshikaji alitufundisha kisarawe, good for him ni askofu sasa
ReplyDeletekaribu sana baba askofu,,,
ReplyDeleteMungu akutie nguvu na akupiganie katika safari nzima
uende na uhubiri injili kama andiko lavotuagiza uwasaidie kondoo wa reading
aleluya