Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hehehehe KP..
    umenikumbusha mwezi uliopita mwishoni.
    Nilikuwa natakiwa nilipe hela ya kodi tarehe 20 sasa nikawa niko majalala kwa ajili ya mambo ya sikukuu, nikajipa moyo kwa kuwa mama mwenye nyumba (Mama Mwajuma) huwa namsaidia, anakopa kwangu kama buku 5 hadi 10 anarudisha hata baada ya wiki nikajua haina noma atanielewa. Jioni ya tarehe 19 nikamfata nikamwambia "Mama naomba unipe kama siku 10".
    Ebwana macho niliyoangaliwa siku hiyo ilibidi niende nikaibane samsung yangu kwa bei ya hasara ili nimalizie hiyo ishu.

    ReplyDelete
  2. amaa nimempangisha Beli Auti au wewe chacha kianzie kesho uhame kenye nyumba yangu chawa

    ReplyDelete
  3. Ukitaka kulogwa mwambie mwenye nyumba wako hayo maneno ya Bail out! Hasas siku moja kabla ya siku ya kulipa kodi.....KP YOU ARE GENIUOS

    ReplyDelete
  4. Masudi hii isijekuwa gia inayotaka kutumia mwaka huu hapo kwa mama hawa unapoishi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...