Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. NATAMANI NITUME VIJISENTI VYANGU VYA DOLA NIVIBADILISHE WAKATI SHILINGI IKO JUU ILI IKISHUKA NIWE NIMEFAIDI KIWANGO HICHO KIKUBWA CHA KUBADILISHIA HELA. LOOO LAKINI NITAPITISHA WAPI BILA USHURU.

    ReplyDelete
  2. HAbari kaka michuzi, pole sana na kazi pia nakupongeza kwa kuweza kuiendendeja blog yako na kuyupati upto date kila siku kwa hakika naamini sio kazi rahisi, ila nakupa hongera .
    Nafurahishwa sana na mengi tunayoyapata katika blog yako ikiwemo kutupatia up to date rate exchange, kuna wadau wanamaombi nikiwemo mimi mwenyewe ikiwezekana kutupati rate kwa kila baada ya siku mbili au tatu inatusaidia sana kwa sisi tulioko nje ya Tz.Ahsante

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...