Home
Unlabelled
bei ya madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hii x treme beural ina ungugu gani na kuwa na bei kubwa sana kiasi hicho cha madafu, kwani ukiuliza kwingine sio kama inavyoonekana hapo,au ukiangalia web ya BOT leo hao jamaa wapo juu sana, kulikoni, na mbona kila siku wao, huko bongo forex nyingine zimefungwa au ndo kututisha,
ReplyDeleteTC's ndo nini??nauliza tu nielimishwe wadau
ReplyDeletena inamaanisha nini apo dollar yaonyesha 50&100 na 1050 na 1390?
afu wee michu ivi hii ni bureau lako nini mboni kila siku tuuu??
biashara hii unaipendelea sana
Mdau rate za BoT ni wholesale na ni kwa ajili ya mabenki. Ila rate za mtaani siku zote huwa juu kuliko banks.
ReplyDeleteMdau wa 1:33, TC inasimama badala ya Travellers Cheque[s].
ReplyDeleteHii ni nyaraka ambayo unanunua sehemu moja, lakini unaweza kuibadilisha kupata cash katika nchi nyingine au sehemu nyingine na kule ulikonunua.