WAPENDWA !!
TUNAPENDA KUWAKARIBISHA TENA KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU ITAKAYOHUDUMIWA NA MTUMISHI WA MUNGU CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE KUTOKA TANZANIA.
TAREHE: MAY 21-24 2009.[MEMORIAL WEEK-END]
MAHALI:UNITED STATES OF AMERICA [USA].
KRYSTAAL BAND FROM CANADA WILL LEAD PRAISE & WORSHIP.....!!
KWA MASWALI AU MAELEZO ZAIDI WASILIANA KWA EMAIL KULA.MANA@YAHOO.COM
WOTE MNAKARIBISHWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. We mtoa tangazo-unasumbua akili kweli!!! eti" Wapi: United States of America" maana yake nini? USA ni kubwa- umeona uviiivu wa kuainisha ni mahala gani USA mchungaji huyu atakapokuwa??- au unataka tu kumiminiwa email ili uulizwe ni wapi??

    ReplyDelete
  2. Tafadhali eleza kinagaubaga ni state gani na mji gani hapa USA?

    ReplyDelete
  3. annon wa kwanza sawa kabisa
    nina wasiwasi na imani yake kwanza
    huwezi weka jambo la maana kama hili tena unakaribisha watu wasikie Neno afu unasema "mahali USA" wapi sasa!!watu wengine mnakera nyie??ukulipitia tangazo before?kama mlikua hamjui ukumbi bado mngetulia na tangazo lenu adi mjipange
    aaagh!!!

    ReplyDelete
  4. TUNAKARIBISHWA WAPI?

    ReplyDelete
  5. Yeah huko huko USA bwana nyie vipi hamuelewi State gani kivipi? State zote ikiwezekana mpaka IDHAO na Alaska kwa Sarah Palin. Au siku za mwanzo NYUYORKNYUYORK,USA.Mtajkuja kuapata neno?Mnakaribishwa NYUYORKNYURORK, Marekani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...