

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huku texas gallon ni $1.19
ReplyDeleteSASA HICHO KIBURI WANAPATA WAPI CHA KUKAIDI MAAGIZO YA CHOMBO HUSIKA HALALI CHA UMMA, MAYBE HUMO MUNA HISA ZA WAKUBWA NA MAFISADI, HATA HIZO NCHI ZA KIPEPARI KWENYE SOKO HURIA HUWA WANATII AMRI ZA VYOMBO HALALI HUSIKA NA WAKIKAIDI HUWA SERIKALI INATIA MKONO WAKE, HUNYANG'ANYWA HATA LESENI NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI.
ReplyDeleteGallon ndio nini? Tukueleweje sasa sisi ambao hatutumii gallon? Au unafikiri hii blog ni ya Wamarekani. Ni bora useme KISADOLIN au KIDUMU utaeleweka.
ReplyDeleteNdo mambo ya soko huria...kama serikali inataka kupanga bei basi ipange pia na bei ya manunuzi kwa hayo makampuni ya mafuta. Vinginevyo serikali itafute namna ya kufidia gharama za manunuzi kwa makampuni ya mafuta ili bei uwe nafuu kwa consumers.
ReplyDeleteNaomba kujua gallon moja ni sawa na lita ngapi?
ReplyDelete