Hadi sasa, wewe msomaji, umetembelea mtandao wa http://www.globalpublisherstz.com/
zaidi ya mara MILIONI 4!
Na umetembelea ndani ya kipindi kisichozidi miezi 17 kuanzia SEPTEMBER 2007. Tunakushukuru na kukupongeza sana. Hatuna jambo kubwa la kufanya kuonesha shukrani yetu itakayolingana na umuhimu wako.
Wakati tunaelekea kutimiza msomaji wa MILIONI 5, tumetenga zawadi ya simu aina ya BLACKBERRY 8700G.
Zawadi hii utaipata ukibahatika kuangukia nambari 5000000 (milioni 5) siku utakapofungua website hii (Angalia counter mwisho wa page hii, kona ya kushoto). Utakachotakiwa kufanya ni kuprint screen popote ulipo duniani na kututumia kama ushahidi kwa email:
uwazi@hotmail.com. (tafadhali usifanye usanii, utaumbuka).
MBALI YA ZAWADI HIYO, wewe kama ni mkazi wa Dar es salaam, ukisoma tangazo hii, nenda duka maarufu linalouza VIPODOZI, HAND BAGS na VIATU kutoka Marekani, ARISE BEAUTY SUPPLY, jitambulishe kuwa umeona tangazo hili kwenye mtandao wa Global Publishers na utapewa PUNGUZO LA ASILIMIA 20 kwa bidhaa yoyote utakayoinunua katika kipindi hiki.
ARISE BEAUTY SUPPLY, wapo Mikocheni B, jirani na klabu ya Talk of The Town na Sinza Mapambano, bidhaa zao ni HIGH QUALITY FROM USA na Brands zao ni pamoja na Victoria's Secret, Avon, LA Girl, n.k.
Hawa ndiyo wadhamini wetu,
ongea nao zaidi kwa namba:
+255 784 521171,
+255 784 456046 (MIKOCHENI)
na
+255 0753 335011 (SINZA).
Au tembelea mtandao wao:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. labda itakua bahati yangu. Ngija ni bookmark hii site. NIlikua sijui kuna site nyingine bongo ya kuingia zaidi ya hii ya kaka michuzi. Na blackberry juuu mbona nitaingia kila siku LOL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...