Home
Unlabelled
boma la kale mikindani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mikindani ndio wapi
ReplyDeleteMikindani iko Mtwara mkuu!!
ReplyDeleteHilo jengo ni zuri sana ila duh!! hawatumii vitu vya kisasa!! kuna utulivu ile mbaya....
hakuna simu vyumbani, TV/Radio hakuna na hata muziki haupatikani. Ila kwa utulivu ni kiota safi sana. Nimewahi kutumia vijisenti vyangu hapo...
Hapo ni mahali pa kupumzika kwa maana ya kupumzika.
ReplyDeleteWaliobuni aina hiyo ya hotel wanataka wageni wao wapumzishe akili na miili yao bila ya kubughudhiwa kupitia macho au masikio. Kwa hiyo TV, radio, simu nk hapo si mahali pake.
Tunahitaji maeneo ya uwekezaji kama huu Tanzania ilikuvutia watu wanaopenda kupumzika katika mazingira hayo.
Baadhi ya nchi zimetenga maeneo kama hayo kwa ajili ya wapumzikaji kutoka sehemu mbalimbali dunia, kuanzia wafalme, mabilionea, ma-celebrities nk.
Mfano ni Monaco, Spain, Cape Town nk
Nimepapenda. Mr. Michuzi au Mr. Mnamba unajua kama wana website hawa?
ReplyDeleteJOHN MNAMBA!!!hahahahaaaa kwi kwi
ReplyDeletesafi sana unafaa sana,apo tutafika tu,km mdau apo juu,je wana website??email?tupate contact zao