paa la boma
kwa ndani

kuelekea vyumbani

kwa nje

Hii ni sehemu ya zamani ya ngome ya Wajerumani enzi ya ukoloni lakini kwa sasa ni kiota cha maraha cha mji mkongwe wa Mikindani. Hapo ni pesa yako tu, swimming pool na mengineo matamu matamu kibao yapo hapo.
Mdau John Mnamba



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mikindani ndio wapi

    ReplyDelete
  2. Mikindani iko Mtwara mkuu!!

    Hilo jengo ni zuri sana ila duh!! hawatumii vitu vya kisasa!! kuna utulivu ile mbaya....

    hakuna simu vyumbani, TV/Radio hakuna na hata muziki haupatikani. Ila kwa utulivu ni kiota safi sana. Nimewahi kutumia vijisenti vyangu hapo...

    ReplyDelete
  3. Hapo ni mahali pa kupumzika kwa maana ya kupumzika.
    Waliobuni aina hiyo ya hotel wanataka wageni wao wapumzishe akili na miili yao bila ya kubughudhiwa kupitia macho au masikio. Kwa hiyo TV, radio, simu nk hapo si mahali pake.
    Tunahitaji maeneo ya uwekezaji kama huu Tanzania ilikuvutia watu wanaopenda kupumzika katika mazingira hayo.
    Baadhi ya nchi zimetenga maeneo kama hayo kwa ajili ya wapumzikaji kutoka sehemu mbalimbali dunia, kuanzia wafalme, mabilionea, ma-celebrities nk.
    Mfano ni Monaco, Spain, Cape Town nk

    ReplyDelete
  4. Nimepapenda. Mr. Michuzi au Mr. Mnamba unajua kama wana website hawa?

    ReplyDelete
  5. JOHN MNAMBA!!!hahahahaaaa kwi kwi
    safi sana unafaa sana,apo tutafika tu,km mdau apo juu,je wana website??email?tupate contact zao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...