bonanza la muziki na michezo la kila jumapili viwanja vya lidaz klabu kinondoni, dar, limepamba moto. mamia ya wadau hufika kuwaona twanga pepeta na msondo ngoma ambao hutumbuiza bure kuanzia saa tisa mchana hadi 12 jioni wakiwa chini ya udhamini wa kilaji cha kilimanjaro lager. kabla ya hapo kunakuwa na mechi za kandanda za timu tofauti toka kila pembe ya jiji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...