Habari za leo!!
Pata bidhaa za wanawake na wanaume (vipodozi, perfume, viatu, lotion, mafuta nk) kwa bei poa.
Tunapenda kukujulisha tuna sale ya kuanza mwaka- punguzo la 5% hadi 50% kwa vitu vingi dukani. List ni ndefu sitaweza kuwapeni kwenye ujumbe huu (na hata website www.arise-tz.com haina list nzima maana vipo kibao) .

Kilichobaki ni kutembelea mwenyewe dukani ujichagulie upendacho.

PIA JIANDAE NA VALENTINE, NUNUA ZAWADI YAKO MAPEMA
Kwa maelezo tembelea website yetu
au mpigie Rose
0784 521171.

Mweleze rafiki /ndugu kuhusu punguzo hili.

HAPPY NEW YEAR!!!!

Karibuni sana!
Arise Beauty Supply

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bro michu naomba kwa hisani yako uniruhusu niweke jambo hili wazi katka blog yako pendwa ili wadau na wapendenda maendeleo waweze kunishauri juuu ya jambo hili.mimi ni kijana wa kiTZ naishi mjini Dar najishughulisha na Bidhaa za Electronics kwa maana ya Kununua na Kuuza. nimefanya shughuli hii kwa muda sasa lakini sijaona faida yake,pamoja na kuuza pia hufanya shughuli zinazohusiana na Satellite Dish nina utaalam wa kurekebisha na kufunga madish,Sasa lengo langu nafikiria kwenda Ughaibuni 1,Kama nitafanikiwa nikaongeze kiwango changu cha elimu juu ya Masuala hayo yanayohusiana na electronics lakini elimu yangu ni ya kidato cha nne bila shaka kidato cha nne cha TZ kinaeleweka 2,Nimefanya udadisi na Kugundua kwamba kwa huko ughaibuni naweza nikafanya kazi za Kibarua(kubeba mabox) aidha nikawa na kipato kikubwa kuliko huku bongo au nikaweza kujisomesha katika fani hiyo niipendayo ya Electronics huku nikiendelea kubeba mabox.Sasa ninachoomba wadau wote kadiri muwezavyo naomba mnipe ushauri wenu hasa mkizingatia halihalisi ya Maisha ya bongo kwa watu kama mimi ninachoomba kwanza Je naweza kupata kazi hizo ambazo nitaweza kujisomesha,Je ni nchi gani nirahisi kwa sasa kutokana na nilivyo jieleza Je nakipato hicho kwa makadirio chaweza kuwa Tsh Ngapi kwa saa .bro michu naomba kwa ridhaa yako niweke hapa E-mail yangu ili kwa wale watakao penda kuwasiliana nami moja kwa moja waweze kufanya hivyo bmbanisha@gmail.com nataraji mtanisaidia BANISHA

    ReplyDelete
  2. VITU SAFI SANA NI KAMA VYA MADUKA MAKUBWA MAKUBWA HAPA MAREKANI KAMA DOLLAR TREE, NATIONAL LIQUIDATION, NA CVS SAFI SANA.

    ReplyDelete
  3. Nimekuta vitu saaaafi sana kwa ngozi yangu. Wivu siku zote huzaa kinyume cha baraka, wenye wivu msishangae mnapokuta mambo yenu hayanyooki. Kama huna zuri la kusema ni bora kukaa kimyaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...