5000 candidates assembled in a large room. One candidate is a man from Bongo.
Bill Gates: Thank you for coming. Those who do not know JAVA may leave.
2000 people leave the room.
Man from Bongo says to himself, 'I do not know JAVA but I have nothing to lose if I stay. I'll give it a try'
Bill Gates: Candidates who never had experience of managing more than 100 people may leave.
2000 people leave the room.
Man from Bongo says to himself ' I never managed anybody by myself but I have nothing to lose if I stay. What can happen to me?' So he stays.
Bill Gates: Candidates who do not have management diplomas may leave.
500 people leave the room.
Man from Bongo says to himself, 'I left school at 16 (std seven) but what have I got to lose?' So he stays in the room.
Lastly, Bill Gates asked the candidates who do not speak Hutu and Tusi to leave. 498 people leave the room.
Man from Bongo says to himself, ' I do not speak one word of Xitsonga but what do I have to lose?' So he stays and finds himself with one other candidate.
Everyone else has gone.
Bill Gates joined them and said 'Apparently you are the only two candidates who speak Xitsonga, so I'd now like to hear you have a conversation together in that language.'
Calmly, Man from Bongo turns to the other candidate and says...... Mambo vipi?'
The other candidate answers Poa mkuu... Naona umeng'ang'ana kinoma...!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. ebwana we mtu uliyeleta hii post nimekubali ,yani mbavu hakuna dah,jamaa anang'ang'ania kinoma

    ReplyDelete
  2. kama nimeelewa ni kwamba jamaa wote wawili ni wabongo wameamua kungáng'ana kwa pamoja bila kujua

    ReplyDelete
  3. ee bwana nimekukubali.

    ReplyDelete
  4. mzee unatisha. si mchezo

    ReplyDelete
  5. i salute u 100% hehehe...u made my day sina mbavu KWELI NI WABONGO TU NDIO WENYE MICHONGO KAMA HIO MFANO WAKE WEE USIWE MVIVU TU WA KUPITIAPITIA COMMENTS ZA WADAU HUMU

    ReplyDelete
  6. Naona hujaelewa story yenyewe... Yeye anamaanisha kwamba wabongo wawili ndio waliobakia na huyu jamaa alijua atakula bingo kumbe kuna mjanja mwengine kama yeye kabakia pia bila ya kuwa na vigezo (hope I'm right). By the way, the author of the post made a mistake in one area, saying that 2000 leave instead of 'left'

    Jay, London

    ReplyDelete
  7. du ! hii ni over size,ebwana si mchezo maana ni piga ua mpaka kieleweke! basi kweli wabongo hatari-i can imagine mtu unapokuwa huna jinsi-unakomaa tu...asante sana kwa hii mdau uliyeileta maana leo kweli nimetunisha misuli ya mbavu..hili ni confidence la aina yake,du!

    ReplyDelete
  8. Dah michuzi umenipata leo...Mi sio mtoa comments ila tatizo ni kwamba nimeanza mazoezi hivi karibuni,mwili bado unauma nimekutana na hii kitu basi imeniumiza sana mbavu...Ebana natumaini siku itaisha na kicheko maana ndo kwanza alfajiri hapa nanimeanza na kicheko...

    ReplyDelete
  9. hahahha hii kiboko

    ReplyDelete
  10. Hiyo inaitwa kukomaa nao, hadi mwisho!!

    ReplyDelete
  11. ndo maana ya bongo.WAFISADI siwalaumu sana maana kila mtu anatumia bongo.nathani tubadilishe jina la nchi yetu tuite boongoland.safi sana mdau.

    ReplyDelete
  12. ebwanae DU!! Wabongo noma....

    By the way wewe Jay wa London, acha kujifanya mzungu kuliko wazungu wenyewe, jamaa yuko sahihi, kwani hukujifunza kiinglish secondary? We call that simple present form/tense, unapoandika essay.... Byee
    Mdau.

    ReplyDelete
  13. Kaka Jay kukaa London c kila kitu, leave hapa inamaanisha wanaondoka, na hii makes sense ukilinganisha na kutumia past form, mambo ya gilama hayo kaka wajisemea wamatumbi wenzangu!

    ReplyDelete
  14. Britons' bathroom habits revealed
    Nearly half of British adults admit to not washing for more than three days, a survey revealed.
    The nation's bathroom habits were put under the spotlight by Mira Showers Plc, in a bid to develop their product range.
    The results revealed 43% of women and 53% of men are happy to put off showering for three days.

    ReplyDelete
  15. Mdau nakusifia sana kwa kutuweka wazi sisi wabongo.

    Eti wadau naomba kuuliza hivi wabunge wetu wengi wa kuteuliwa na viti maalumu si ndo hawa, hivi mmesoma profile zao? Wengi wao ni form four, tena failure; ila bado wamo tu wanangangana kinoma kuwemo Bungeni. I know for sure, hawawezi kupeleka muswada hata mmoja bungeni ila wanangangana mpaka dakika za mwisho za mwaka wa tano wanachukua shangingi na million 25; mimi sijui Bongo niifanyeje??

    ReplyDelete
  16. Wee mbeba boski JAY wa UK acha kujifanya wee ndio kamusi kwanza nishasikia kuna JAY mmoja huko UK kwenu hata pepa hana ila anajitia mjuaji sijui kwanini nahisi kama ndio JAY wewe kwahivi vitabia vyako vilivyomezwa na ulimbukeni utaishilia hayohayo ya kudoea pepa za wenzio ukabebee boski ukija humu utake kuwaelekeza watu na kutafsiri hadithi walizozitoa wenzio.HIVI ni nani kwa umbumbumbu wako ambae haikuielewa hii story hadi nawewe ukaongeze TAFSIRI yako mradi tu nawee upate kunukia mbele za watu umekuwa kama USHUZI VILE.

    ReplyDelete
  17. Hi poa sana, nimecheka sana.

    Mkosoa English, wewe ndio umekosea. Leave hapo imetumika kisahihi kabisa.

    ReplyDelete
  18. ha ha ha ha, sawa mkuu, huyu jamaa alijua fika kwa vigezo vile hakuna atakaebaki na aliebaki lazima awe ni mbongo tu, ndo maana jamaa aliturn pembeni na kumpa 'mambo vipi'?

    Lkn kwa kua Bill Gates mwenyewe hajui hicho kilugha, chochote watakachoongea ni powa tu kwake, duh, wabongo bana, piga uwa garagaza, unakomaa tu.

    ReplyDelete
  19. Ohoo what a good story!!! Lakini nadhani haikumaliza lazima utakuwa kuna kitu kiliendelea baada ya hapo; maana hatujaambiwa kama jamaa ndio ameikwaa job au la. Lakini I guess it end up like this:

    Bill Gates: Gentlemen I am impressed with your language performance so far thank you and let us come to the business. Well can I see your CV please?
    Each man handed over his CV to Bill Gates immediately. Bill Gates went through the first CV then the second in less than a minute, the next thing he picked up a phone and call a Centre for mental retarded people reporting that there are two people in his office who meet their admission criteria.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...