Picha zaidi za msiba huu
Home
Unlabelled
Buriani Cassian Malima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi ni mimi tena narudia mara ya pili kuandika comment yangu iwekwe humu bloguni kama wengine Je huyu mama hapo anapita amefunga ribon nyeupe kichwani aliwahi kucheza mpira wa kikapu ama ni mpenzi wa mpira wa kikapu? anaonekana amepiga ribon kichwani kama Lebron james wa lile jiji la Cleverland Columbus Ohio usa. ni hayo tu sina mengi ya kuongea asante kaka Michuzi!
ReplyDeletePeter Nalitolela
ReplyDeleteHuyo unayenzungumzia ni profesa na mwalimu wa Sanaa Chuo Kikuu cha DSM na anaitwa Amandina Lihamba kama Misoup alivyoandika. Kama aliwahi kucheza mpira wa kikapu, sijui ila amekaa Marekani miaka mingi sana sana
Peter Nalitolela feki, huna mpya, apa ndio pa kuulizia kilemba huku watu wanaongelea msiba! grow up
ReplyDeleteMama Lihamba nimtaalamu wa sanaa, ndiomaana unaweza kuona yeye ni Profesa. Mara yangu ya mwisho kumuona, alikuwa ni mkuu wa kitengo cha sanaa pale chuo kikuu cha dsm (ud} na alishawahi kuishi marekani zaidi ya miaka Kuminane, kule alikuwa akifundisha chuo kikuu cha carfonia. Kwa hiyo kilemba ni moja kati ya tamaduni ya fani yake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletemdau kutoka canada