Waziri wa chi ofisi ya makamu wa rais mazingira Dk. Batilda Burian akimzikiliza Mbunge wa jimbo la kasulu mashariki mhe Daiel Nsazugwanko mara baada ya uzinduzi wa warsha ya programu endelevu ya hifadhi mazingira ya ziwa tanganyika. kulia ni mkuu wa mkoa wa kigoma Kanali Zeon Simbakalia na kushoto ni mkuu wa wilaya kasulu Bw Saidi Bwanamdogo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian akizindua Warsha ya Programu Endelevu ya Usimamizi wa Mazingira ya Ziwa Tanganyika iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hilltop Mkowani Kigoma. Toka shoto ni Mwakilishi wa UNDP Bi Dema Alitl, Mkurugenzi wa Mazingira Bw Erik Mugurusi.Naibu Katibu Mkuu Bw Mbarka Abduliwakili.Picha na mdau Ali Meja


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wale waliotaka kuona sura ya Dk. Burian sasa kilio kimejibiwa.

    ReplyDelete
  2. Napenda sana huyu mama anavyovaa, anapendeza sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...