Habari za kazi Issa,
Hongera kwa kazi nzuri kupitia blog yako, una kila sababu ya kupongezwa.Richard ni jina langu nikifanya kazi za film/tv/video production hapa jijiniDar.
Kati ya mwaka 2004 na 2006 nilitengeneza filamu fupi sana zinazohusu HIV/AIDShivi karibuni nimezi-upload utube ili wadau wapate kukosoa na kuelimika unaweza kuzipata kupitia
ninakuomba uwashirikishe link hii wadau katika blog yako ili wapate kuzikosoa kazi hizi za sanaa, ikiwezekana wajikosoe na kujielimisha kupitia kazi hiziNinakutakia kazi njema na yote mema.
Mdau Richard Bon' Magumba
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...