Hi guyz.....cheers....!! hp nw yr 09....!!!
I have created a blog, pamoja na mambo menginewe.... just to share whatz happenin in Dom ktk nyanja mbalimbali..... I know u hv so many things to do.... but plz just have a glance at it at
http://jube-tranquilino.blogspot.com/
..... and few comments thru the blog or via email wld serve the purpose.... thnx.....
Regards
jubeft......
----------------------------------------------------
Jube!
Karibu kwenye libeneke. nilikuwa najiuliza lini utaibuka namna hii. aisee vituzzz vimetulia kinoma na nahisi tutaipata dom dom fresh sasa. kaza buti mwanangu. hongera sana
-michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. safi sana Faraja.....imekaa mswano. mdau USA, classmate Amani s/m

    ReplyDelete
  2. ni changamoto nyingine kwa wamiliki wa glob,safi sana. lakini mheshimiwa nafikiri utakuwa umemshauri dogo kufanya editing kabla ya kuingiza picha na maneno yake,hata ka ni lugha y akiblog bado haijakaa sawa sana.
    tafadhri muelekeze bwana mdogo,ni wajibu wako kama mkongwe na kioo cha wanaokuja,ndo maana kila aanzishae anaitangaza kupitia kwako, nawe ulimshukuru sijui ndesanjo,sijui macha, lakini yote kwa Kheri,

    ReplyDelete
  3. mimi naona ujaribu kutafuta jina rahisi kidogo....jina gumu sana hili babu

    ReplyDelete
  4. Mtoa maoni wa tatu wazolako na mimi nalikubali,Jina gumu sana

    ReplyDelete
  5. DUH!!! KAKA IMEKAA NJEMA SANA TENA SANA.BIG UPZ...!
    LKN JINA NIGUMU SANA KUKARIRI PLZ TAFUTA JINA FUPI,COMMON LA KISWAHILI LISILO SAHAULIKA SI WOTE WANAOJUA NGELI

    ReplyDelete
  6. naungana nanyi,jina gumu sana.

    halafu learn proper english basi,i couldnt read your slang.its sad

    ReplyDelete
  7. Blog imetulia sana.Keep up.Slang imetulia na inaeleweka vizuri.Nashangaa wadau wanaolalamika kuwa hawaelewi.
    Your classmate.
    mwakanyasi 1993,safarini kuelekea unyamwezini.

    ReplyDelete
  8. thats coool dawg, i know the dude imetulia hiyo, big up mabula
    mdau wa dom USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...