I have created a blog, pamoja na mambo menginewe.... just to share whatz happenin in Dom ktk nyanja mbalimbali..... I know u hv so many things to do.... but plz just have a glance at it at
http://jube-tranquilino.blogspot.com/
..... and few comments thru the blog or via email wld serve the purpose.... thnx.....
Regards
..... and few comments thru the blog or via email wld serve the purpose.... thnx.....
Regards
jubeft......
----------------------------------------------------
Jube!
Karibu kwenye libeneke. nilikuwa najiuliza lini utaibuka namna hii. aisee vituzzz vimetulia kinoma na nahisi tutaipata dom dom fresh sasa. kaza buti mwanangu. hongera sana
-michuzi
safi sana Faraja.....imekaa mswano. mdau USA, classmate Amani s/m
ReplyDeleteni changamoto nyingine kwa wamiliki wa glob,safi sana. lakini mheshimiwa nafikiri utakuwa umemshauri dogo kufanya editing kabla ya kuingiza picha na maneno yake,hata ka ni lugha y akiblog bado haijakaa sawa sana.
ReplyDeletetafadhri muelekeze bwana mdogo,ni wajibu wako kama mkongwe na kioo cha wanaokuja,ndo maana kila aanzishae anaitangaza kupitia kwako, nawe ulimshukuru sijui ndesanjo,sijui macha, lakini yote kwa Kheri,
mimi naona ujaribu kutafuta jina rahisi kidogo....jina gumu sana hili babu
ReplyDeleteMtoa maoni wa tatu wazolako na mimi nalikubali,Jina gumu sana
ReplyDeleteDUH!!! KAKA IMEKAA NJEMA SANA TENA SANA.BIG UPZ...!
ReplyDeleteLKN JINA NIGUMU SANA KUKARIRI PLZ TAFUTA JINA FUPI,COMMON LA KISWAHILI LISILO SAHAULIKA SI WOTE WANAOJUA NGELI
naungana nanyi,jina gumu sana.
ReplyDeletehalafu learn proper english basi,i couldnt read your slang.its sad
Blog imetulia sana.Keep up.Slang imetulia na inaeleweka vizuri.Nashangaa wadau wanaolalamika kuwa hawaelewi.
ReplyDeleteYour classmate.
mwakanyasi 1993,safarini kuelekea unyamwezini.
thats coool dawg, i know the dude imetulia hiyo, big up mabula
ReplyDeletemdau wa dom USA