Akiwa tayari na albamu zisizopungua tano kibindoni, Jennifer Mgendi(pichani) ni miongoni mwa wanamuziki wa muziki wa injili au kwa kiingereza Gospel nchini Tanzania ambao wamejijengea sifa na umaarufu mkubwa kutokana na kazi yake hiyo ya uimbaji na kumtukuza mola.

Lakini tofauti moja kubwa ya Jennifer na wanamuziki wengine wa muziki wa injili ni kwamba yeye pia ni mtunzi mzuri wa hadithi za filamu.Baadhi ya filamu alizowahi kutunga ni kama vile Pigo la Faraja, Joto la Roho na Teke la Mama.
Nenda Bongo Celebrity umsome Jeniffer

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Aleluhya babes!!!tikisha tikisha chakacha!!!

    ReplyDelete
  2. Hongera sana da Jeniffer,nyimbo zako za dini nzuri sana keep it up.Mungu akubariki.Ameshaolewa huyu dada?mwenye taarifa tafadhali.Nataka kurusha nyavu zangu.

    ReplyDelete
  3. Kila la kheri sis nyimbo zako nzuri zinafariji sana hongera sana!

    ReplyDelete
  4. Keep it up a good work Jennifer! God bless you na endelea kumtukuza Mungu!

    ReplyDelete
  5. Jeneffer, you are so beatiful, nice looking and attractive showing that you are real filled with grace of God. Keep it up with your Evangelism!! Let no one shake you. Let our AlMighty God Bless you for ever!!!
    Mdauzzzzzzzzzzz

    ReplyDelete
  6. eshaolewa longi wee annon ana watoto,,,kwa kumalizia amekula nondoz za kufa mtu utaweza??
    annon wa kwanza hahahahaaaaa iyo tuiiteje mchiriku,segere,taarabu,ndomboro??
    ila yu gospel singers dont confuse us with "the world" ndomboro zimezidi zimetoa utukufu/no upako at all...jaman kwani lazima tuige kila kitu??chetu wenyewe si kizuri?
    CHANGAMOTO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...