JK akizungumza na Rais wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini wakati viongozi hao walipokutana jana katika Hoteli ya Sandton Sun, mjini Johannesburg, Afrika Kusini ambako JK alikuwa amefikia alipohudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC kuhusu Zimbabwe. Picha na mdau Juma Kengele wa Ikulu---------------------------------------------------------------
WAKUU WA NCHI ZA SADC WATOA MSIMAMO KWA ZIMBABWE
Na Mwandishi Maalum,
Johannesburg, Afrika Kusini
WAKUU wa Nchi za Jumuia ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameamua kuwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa inayolenga kumaliza mgogoro wa kisiasa katika Zimbabwe iundwe katika siku 17 zijazo, yaani Februari 13, mwaka huu, 2009.
Wakuu hao pia wameamua kuwa pande zote zinazovutana katika mgogoro huo zihakikishe kuwa Bunge la nchi hiyo linakutana wiki ijayo, Februari 5, 2009, na kupitisha Mabadiliko ya 19 ya Katiba ya Zimbabwe, ili kufungua njia ya kuundwa kwa Serikali hiyo.
Viongozi hao pia wameamua kuwa Waziri Mkuu Mpya wa Zimbabwe, Morgan Tsvangirai na Naibu Mawaziri Wakuu Wawili waapishwe na kushika madaraka ifikapo Februari 11, 2009.
Haya ni baadhi ya maamuzi ya Mkutano wa Wakuu hao uliofanyika katika Nyumba ya Kufikia Wageni ya Rais wa Afrika Kusini, mjini Pretoria, Afrika Kusini mfululizo kuanzia mchana wa jana, Jumatatu, Februari 26, 2009 hadi alfajiri ya leo, Januari 27, 2009 na kuhudhuriwa na wakuu wa nchi, serikali na wawakilishi kutoka nchi zote 15 wanachama wa SADC.
Miongoni mwa waliohudhuria mkutano huo uliotishwa rasmi kutafuta njia za kukwamua mchakato wa kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kimataifa, kama njia ya kumaliza mgogoro wa kisiasa katika Zimbabwe, ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Viongozi wengine waliohudhuria mkutano huo marathoni uliopitisha maamuzi 11 kuhusu Zimbabwe, na mawili kuhusu hali ya kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), ni pamoja na mwenyeji wa mkutano huo, Rais Kgalema Motlanthe wa Afrika Kusini, Rais Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama wa Botswana, Rais Armando Emilio Guebuza wa Mozambique, Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia, na Mfalme Mswati wa Pili wa Swaziland.
Wengine ni Rais Rupiah Banda wa Zambia, Rais Robert Gabriel Mugabe wa Zimbabwe, Waziri Mkuu wa Lesotho Pakalitha Mosisili, Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Assuncao Dos Anjos, Waziri wa Mambo ya Nje wa DRC Alexis Thambwe Muamba, Waziri wa Mambo ya Nje wa Shelisheli Partick Pillay, Waziri wa Serikali za Mitaa na Maendeleo Vijijini wa Malawi George Chaponda, Balozi wa Madagascar katika Afrika Kusini Dr Dennis Andriamandroso na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Mauritius Anund Priyay Neewoor.
Viongozi wa Chama cha MDC-T wakiongozwa na Kiongozi wa chama hicho, Morgan Tsvangirai pamoja na wale wa chama cha MDC-M, vyama ambavyo pamoja na chama cha ZANU-PF ndivyo vinavutana katika mgogoro huo,pia walihudhuria mkutano huo.
Msuluhishi rasmi wa mgogoro huo, Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki pia alihudhuria mkutano huo. Thabo Mbeki aliteuliwa na SADC kuifanya kazi hiyo kwa niaba ya AU.
Aidha, mkutano huo umeamua kuwa Kamati ya Pamoja ya Kufuatilia Utekelezaji ya Makubaliano Kamilifu ya Kisiasa katika Zimbabwe ifufuliwe mara moja, na mkutano wa kwanza wa Kamati hiyo ufanyike keshokutwa, Januari 30, mwaka huu. Miongoni mwa mambo mengine, mkutano huo wa kwanza umeelekezwa kuteua wenyeviti wa Kamati hiyo.
Kuundwa kwa Kamati hiyo ni sehemu ya Makubaliano hayo yaliyotiwa saini Septemba 15, mwaka jana, mjini Harare, Zimbabwe, baina ya vyama vya ZANU-PF, MDC-T na MDC-M chini ya usimamizi wa SADC iliyokasimiwa madaraka ya kusimamia mchakato huo wa kutafuta suluhu ya amani katika Zimbabwe na AU.
Mkutano huo pia umeamua kuwa mgawanyo wa nafasi za Baraza la Mawaziri, kama zilivyokubaliwa katika Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi za SADC Novemba 9, 2008, utakuwa unaangaliwa upya kila baada ya miezi sita baada ya kuanza kazi kwa Serikali ya Umoja wa Kimataifa.
Wakuu hao wa SADC pia wameamua kuwa uteuzi wa Gavana wa Benki Kuu ya Zimbabwe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni mambo ambayo yatashughulikuwa na Serikali hiyo ya Umoja wa Kimataifa.
Pande zote mbili pia zimeagizwa kukutana mara moja kujadili mapendekezo ya Muswada wa Usalama wa Taifa kama yalivyowasilishwa na MDC-T, pamoja na kutafuta namna ya kugawanya nafasi ya magavana wa majimbo nchini humo.
Wakuu hao wa SADC wamesisitiza kuwa wananchi wa Zimbabwe wanakabiliwa na hali ngumu na changamoto nyingi ambazo zinaweza kushughulikiwa baada ya Serikali ya Umoja wa Kiamataifa kuundwa.
Wakati huo huo, Rais Kikwete amewasili Dar Es Salaam jana jioni akitokea Afrika Kusini katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SDAC. Kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar Es Salaam, Rais amepokewa na Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein na viongozi wengine wa Serikali.

mkuu wa nanihii
ReplyDeleteza vekesheni nini apo sauzi?
na mzee wa trips
American style,mhhh! Tupunguze kuiga mambo kwani tunaweza kukosea diplomasia.
ReplyDeleteSuti ya kueleweka? Hiyo inatakiwa Khaki pants na Blazer! Sio koti la suti ingine na suruali ya suti ingine.Unaharibu mkuu.
ReplyDeleteMshauri wa mavazi wa rais anampotosha. Mheshimiwa Rais fanya research kidogo kabla ya kuweka viwalo vyako. Unapendeza lakini mchanganyiko mwingine hauji hata kama brown shoes brown trouser umepatia juu umeharibu mzee.Unegepia mashati yako kama yale ya Mandela.
ReplyDeleteCHA MSINGI NI KUWAPIGA CHINI WOTE MORGAN NA MUGABE WATAFUTWE WATU WENGINE NDANI YA VYAMA HIVYO WAENDESHE NCHI NA KATIKA KIPINDI CHA MPITO MAJESHI YA AFRICA YASIMAMIE NCHI, WATU WANATESEKA SANA, SASA IMETOSHA JAMANI. HAWA WATU WAWILI WANAGOMBEA MADARAKA TU ILI WAIBE.
ReplyDeletejamani mdau mmoja aniandikie zuma anamwambia nini jk????......
ReplyDeletekhaa anaongea na aliye---ka mwanamke (sheria)sauzi??
ReplyDeletemugabe na tshangilai sijui kweli wakae pembeni its enough!!
yan njaa,kipindu-pindu,inflation yani wazungu watu wabaya sana ao walioshikilia dunia!
Two BoT officials in court over Twin Towers scandal
ReplyDelete2009-01-28 10:37:30
By Rosemary Mirondo
Two senior officials of the Bank of Tanzania appeared in a Dar es Salaam court yesterday charged with abuse of office, disobeying statutory orders and occasioning a loss of 221,197,299,200/95.
The case is in connection with an extension project involving the central bank`s controversial twin towers.
The accused are Personnel and Administration director Amatus Joachim Liyumba and Projects Manager Deogratius Dawson Kweka.
They appeared before Kisutu Resident Magistrate Hadija Msongo.
A Prevention and Combating of Corruption Bureau team led by John Rwebuhanga submitted in court that, on different dates between 2001 and 2006, Liyumba abused his authority by undertaking major decisions on the extension of the construction project and implementing it without the approval of the bank`s board of directors.
The court heard that the offences were committed in Dar es Salaam.
The PCCB team also submitted that, on the same dates, Liyumba disobeyed statutory orders by undertaking substantial structural changes in the bank`s extension project without approval from the board of directors, which was in contravention of the Public Procurement Act.
Liyumba and his co-accused are further jointly charged with having wilfully, through their failure to take care or to discharge their duties in a reasonable manner, failed to scrutinise the legitimacy and subsequent payments made in respect of Twin Towers project.
The offence was said to have been committed on the same dates.
The prosecution submitted that, by so doing, they made the bank’s board of directors fail to make appropriate decisions, thereby authorising the said payments.
That was said to have caused the government a loss of USD153, 077,715.71 (equivalent to 221,197,299,200/95).
Both accused denied the charges, with the prosecution telling the court that investigations into the case were continuing.
Magistrate Msongo then instructed each of the accused to present to court two sureties, either civil servants or employees of registered institutions, each of whom would have to sign a bond of 50m/-.
The accused were also required to deposit in court half the said amount of money they are charged with stealing, which would come to 55bn/- each, in the form of cash or title deeds based on the principle of sharing.
The court also ordered the duo to surrender their passports, not to leave Dar es Salaam Region and to report to the PCCB head office every Friday.
Soon after the bail conditions were set, Liyumba`s counsel told the court that his client had 13 title deeds amounting to 600m/-.
However, before he could proceed, the prosecution asked the court to allow it time to evaluate the acceptability of the property in question.
The request was granted, the case was adjourned to February 10 and the accused were returned to remand custody.
SOURCE: Guardian
DISBAND INEFFECTUAL AND IRRELEVANT SADCC
ReplyDeleteA group of 14 leaders but only one is a true Leader and he came out on top and that is none other than Rober Mugabe.
He knows what he want, he stand firm, and all of them gave in including Tsvangirai who it seems cares very little about Zimbabweans. He just want to be a PM and get all the perks that comes with it, MDC should sack him!
People have not sufferred this long , died, jailed tortured for him and justice only for him to submit to Mugabe to be swallowed.
In blessing Injustice in Zimbabwe they have managed to make themselves irrelevant so I guess it is time to disband the ineffective group which is wasting our resources.
Mandella said it is a collective failure of Leadership and now we can clearly see why??!!
I wonder what mwalimu would have said, Catch him here
"http://www.newsplayer.com/president-nyerere-re-elected-for-further-5-years-video
JK and JZ..I wonder what was the topic of discussion???
ReplyDelete