Home
Unlabelled
JK apewa zawadi ya uzi wa NBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jezi Ya NBA? bado sijaelewa kama kuna mtu kaelewa naomba nifafanulie.
ReplyDeleteJezi ya timu gani hiyo katikati ina ramani ya Afrika?
ReplyDeleteHawa Wameerika na wenyewe machizi, tangu wasikie JK alikuwa mchezaji wa basketball enzi hizo basi imekuwa nongwa, mara Bush ampe kiatu cha Skeckilla na huyu naye anakuja na hiyo. Not interesting at all.
ReplyDeleteIna maana JK amepewa jezi yeye kama JK kwa ajili ya mazoezi yake binafsi ya basketball au ni ajili ya timu ya basketball ya Taifa. Na kama ni kwa ajili ya timu, waziri wa michezo yuko wapi mpaka rais apokee jezi??????? Pia hata kama ni ya kwake binafsi, is it fair kuwa ni issue ya display kama inavyoonekana? I think katika level ya president huwezi kupokea jezi halafu kukawa na journalists na kuwa ni news ambayo taifa zima lisome. It is high time that nafasi ya Head of state sio tu ya kuchezewa kiasi hicho. Ni mtu mkubwa sana kiasi cha kwamba hawezi kupokea jezi kama inavyoonekana katika picha.
ReplyDeleteKweli bongo tambarale.
Mdau
JK mwenyewe alijichongea kwa kusema anapenda basketball! Na mzungu ukishamwambia hivyo na akikupenda basi kila zawadi itakuwa ni basketball. Mzungu au hata Obama akikuuliza unapenda nini sema kitu kama ningependa kuendesha Hammer halafu utanisimulia mwenyewe.
ReplyDeleteHii iko personal kama ni misaada mikubwa walitupa mamilioni Bush alipokuja. Kwa kusema anapenda basketball Bush alimzawadia kiatu cha Shaq, sasa ni fulana na next time Obama atakuja na Mpira.
Anon 8:36 comment yako imenifurahisha...lakini naomba kuuliza jamani "JEZI YA NBA" au ilitakiwa iwe JEZI YA BASKETBALL/KIKAPU maana iyo sio jezi ya timu yeyote ya nba..kwa hiyo sioni sababu ya kuiita jezi ya nba..
ReplyDeleteni hayo tuu
Hiyo jezi XXXXXXXLLL...HATA WABEBA MABOKSI KUMI WANAINGIA HUMO!!!!
ReplyDeleteJK it is time to travel. inaonekana jua la bongo limekuunguza kidogo. we zua safari tu.
ReplyDeleteover size.
ReplyDeleteGosh! Dar pumps `run` out of petrol
ReplyDelete2009-01-13 11:26:57
By Angel Navuri
Petrol was reportedly out of stock at most filling stations in Dar es Salaam yesterday, hardly a fortnight after the government announced that the country had enough stocks to meet national demand for at least one month.
Many motorists were forced to queue for hours at two filling stations, namely Gapco at Africa Sana in Sinza and Total at Victoria area in Kinondoni municipality where petrol was on sale.
A quick survey carried out at most filling stations in the city yesterday showed that almost all stations operating under the banners of Gapco, BP, OilCom, Engen and Total did not have fuel.
Sales persons at various stations said in separate interviews that petrol had run out of stock, but speculations around the city were rife that the shortage had been artificially created by oil dealers themselves who were out to reap higher prices through the ``run on low stocks.``
In an interview with The Guardian, Gapco fuel salesperson, Michael Kalunga said that petrol is not available in the city but would probably be available this week.
This has been a problem since last month...it`s only that there was still a small amount of petrol remaining in circulation at the filing stations, he said.
Total salesperson Mildred Joseph attributed the shortage to the government pressure on dealers in making sure that pump prices drop. That could be the reason that has never happened before, why now? said Joseph.
An Oil Com salesman, Ali Mohamed, explained that shortage of petrol had been a problem, but it will be over this week. He said the problem of petroleum had nothing to do with other filling stations being closed.
A BP salesperson, Daniel Mhina, said that petrol shortage had been there over the last three days only that it wasn`t that serious because there was still little circulating in the system.
We are not sure if it is true that there is a shortage of petrol or they have decided to be on a go-slow.
Why should it happen now when there is a tug-of-war between the government and the oil dealers, querried daladala driver Timothy Swai.
Swai added that the government should be serious about the matter and make sure that oil companies cooperate well with the regulators.
A taxi driver, Ben Mwakey, advised the government to cancel licenses of oil dealers who are not ready to adopt its indicative price cap.
This is just ridiculous. Since they have been forced to lower pump prices, they have decided to create shortage of petrol. The government should revoke their licenses to teach them a lesson, said Mwakey.
When contacted for comment on the petrol shortage, Energy and Water Utilities Regulatory Authority director of petroleum Sirll Massay could not give an immediate response.
When `The Guardian` called him in the first place he answered the phone, but said he was driving and would respond later. However, he hung up when this paper made several other attempts to reach him.
On December 29, last year Energy and Minerals deputy minister Adam Malima said there were enough fuel stocks to meet national demand for at least a month.
Oil dealers hiked pump prices during end of the year festivities, compelling the government to intervene and set prices through Ewura, hardly two week ago.
However, since then some oil dealers have been reluctant to comply with the government directive.
SOURCE: Guardian
annon apo juu wa hammer,,,hahahaaa
ReplyDeletejeziiiii?president wa TZ?
afu nao awa wamarekani kwa kubadilisha mabalozi??utalii nini?aya twamsubiri boss mwingine sijui atakua mnigro au???
wana roho za korosho km nini
Hiyo jezi naona ni custom made, hahah, naona imewekewa saini na wachezaji, ningependa michuzi kama ungeweza kutupatia taarifa ni wachezaji gani walioweza kusign hiyo.
ReplyDeleteKwa kuwa jezi yenyewe haiwakilishi timu yoyote, huyu balozi angejaribu kuweka rangi za timu ya taifa ya marekani au tanzania basi. Hivi hivi imekaa kiusanii, na pia namba hizo hawatumii kwenye basketball, hizo ni football numbers!
Someone is playing dumb here, I don't know who though.