Six MPs who will travel to Washington, DC, will not witness the installation of US President-elect Barack Obama.

The team, to be led by Foreign Affairs Minister Moses Wetangula, will be restricted only to side events, as they have no official invitation.

Addressing the Press at his office on Monday, Wetangula said the MPs would only attend the African bash, organised by African diplomats in Washington.

"At the official installation, the US State Department has invited the Kenyan envoy to Washington, Peter Rateng’ Ogego and his wife, that is the tradition, and we appreciate it," he said.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. watani wa jadi bwana! sasa we unataka kuvamia shughuli ya watu bila official mwaliko? hao jamaa wametia aibu sana, yaani wasomi wazima wanashindwa kureason mambo? basi wataishia kuona kwenye luninga kama sie wengine cause hawakutaka ustaarab hii ndo US bwana mambo yanakwenda systematic!

    ReplyDelete
  2. Wanadai ati kenya is among American states sorry!!!

    ReplyDelete
  3. Hawa jamaa walichukulia for granted kwamba kwa kuwa Obama ni halfcast wa Kijaruo na kimarekani basi ni kwenda tu as if ni kwenye hafla ya East Africa Community wanayoshabikia. Forget about it. Ngoja waishie kwenye hiyo African bash wakome zao next time watajifunza.
    Mdau

    ReplyDelete
  4. Installation?

    ReplyDelete
  5. Wakenya watafute namna kujisafisha kutokana kashfa za vita vya kikabila ilioangamiza mamia ya raia wasio na hatia na sio kuvamia mambo ambayo hayawahusu. Nilishangazwa na Serikali ya Kenya kutangaza siku ya matokeo ya uchaguzi marekani PUBLIC HOLIDAY. Huku ni kubweteka. Ni nani kasema Obama ni Mkenya. Aibu

    ReplyDelete
  6. WATASHANGAA KWENYE MATAAA YA UBUNGO, HATA AKILI HAWANA, KWANI HAWAJUWI KUWA OBAMA NI MWA-AMERIKA SI MKENYA.

    LEO BIBI YAKE WA KENYA AMEKWEA PIPA NAIROBI KWENDA WASHINGTON KUUDHURIA SHEREHE ZA MJUKUU WAKE AMEPANDA KENYA AIRWAYS HADI UHOLANZI NA ATAUNGANISHA KWA KLM.

    ReplyDelete
  7. Hao watani wa jadi wagonjwa kweli yaani na Imagine mawaziri na wabunge wanalipiwa na serekali kwa hela za wananchi kwenda kuhudhuria mtoto waliye mtelekeza na akafanya juhudi zake binafsi kuwatafuta sasa ndio imekuwa issue. Na balozi wa Kenya huku nasikia atafanya sherehe bure kwa wakenya wote hizo hela si zingesaidia wale ndugu zao wa Kibera wanao hitaji msaada zaidi. Halafu mawaziri wazima wanakuja kujidhalilisha na kupigwa baridi nje kama watu wa kawaida bakini kwenu mfanyekazi

    ReplyDelete
  8. Afadhali, hawa watu vipi??!!!, ar they really serious??!!!, naona aibu kwa niaba. Na kukataliwa kote huko halafu bado tu wanaenda, kisa the next president's last name ni jina lao? mtu mwenyewe kalelewa na mama ake and grands wake, hasn't seen his father since he was 10, halafu leo from nowhere wanajikusanya nchi nzima kutaka kwenda states. Kweli ulimbukeni.

    Anon wa kwanza.

    Love u for your comment!

    ReplyDelete
  9. Kenyans you ought to be carefully, Obama is an American politician, and he has no business with you unless the US policies shift to your side, which will never happen. Obama is likely to visit Tanzania officially than Kenya. Wacha uzuzu nyie watu!

    Proud Ugandan.

    ReplyDelete
  10. Jamani msisahau mapanga, masheti na virungu!!!!

    ReplyDelete
  11. Kidding Me !!!
    You must be out of your mind :-$*(

    ReplyDelete
  12. mapanga shwa shwa shaw ! jamani kujitia kinyuma nyuma siku zote ndo matokeo yake , sisi tuliojitia kimbele mbele aka !!! obama atabaki kuwa mtani wetu wa jadi teh teh teh

    ReplyDelete
  13. eti hawa jamaa ndo tunataka kuungana nao, sasa siitakua aibu kilasiku.tuna taka waziri wetu wawizara ya Africa mashariki atueleze, tukiungana hawa watu na ujinga wao tutawaweka wapi?
    Naukabira wao? una wamesoma lakini hawaja staarabika? tutawaeka wapiiiiiiiiii?????
    mdau.

    ReplyDelete
  14. ndio baba yake obama alikua mkenya na obama anamueshimu sana bibi yake na ndugu zake wachache kutoka kenya - just that. mambo mengine ya kenya na watu wa kenya hana muda nao. wakenya watajutia kuchukua holiday wakati obama alishinda election. just imagine serikali ya kenya ili decide kuchezea pesa za wananchi wao just because walikua wanajipendekeza na obama ambaye hawatambui. magazeti ya kenya yaliandika siku nyingi kwamba kungekua na delegetion ambayo ingeongozwa na waziri wao mkuu kwenda washington kuiwakilisha serikali yao kwenye hiyo sherehe. walipanga hiyo trip kama walikua wamekwisha alikwa. hii ni aibu tu. i hope they will learn a lesson from this stupid mistake.

    ReplyDelete
  15. wakenya huwa hawanaga aaibu . niwajinga sana hawaoni haya wala vibaya hata ukiwashushua sijui yakoje mwe

    ReplyDelete
  16. TO MISS OBAMA INAUGRATION????????jamani obama kawa miss?????nisaidieni kingereza kimegonga ugoko

    ReplyDelete
  17. mbona wewe unajifanya unajua sana kingereza kumbe ukijui. jee unajua MISS inamaana zaidi ya moja. kabla hujaropoka angalia kamusi ya kingereza kwanza. mtu akisema ata miss inaguration ya obama anamaanisha ataikosa inaguration ya obama. sasa hiyo kutumis neno miss sio ile miss nyingine inayomaanisha msichana. angalia spelling zako. wewe ndio hujui kingereza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...