Bendi maarufu ya dance Kilimanjaro Connection chini ya gwiji Kanku Kelly imo jijini Kuala Lumpur, Malaysia, kwa mkataba wa kikazi utakao dumu zaidi ya mwezi mmoja. Kilimanjaro Connection ni maarufu mno hapa Malaysia kwani imekuwa ikifanya maonyesho jijini hapa zaidi ya miaka 10. kwa habari na picha zaidi tembelea:



samahani MBONA AO WADADA WAMEVAA NETI MIGUUNI???KUNA MBU SANA INDONESIA eeeeeeeeh!!
ReplyDeletewasalaam