Shabeen Ent.na Luke Music Factory inakukaribisha kwenye ufunguzi rasmi wa Los Arrieros Club siku ya ijumaa january 9/2009,hapo mjini Silver Spring.


Hili ni jibu la kilio cha muda mrefu cha wapenzi wa burudani wa Afrika mashariki wa Washington Metro Area kua na Club itakayo wakutanisha na kwa mara ya kwanza,mwaka mpya na mambo mapya.


Djs watakua Joe aka Cat Dady wa 93.9 fm na Dj Luke. Mazungumuzo yanaendelea vizuri na Djs Banti (Kenya), Mondy(Uganda) ambao wamekubali kuwepo siku ya ufunguzi january 9.


Karibuni wapenzi wa bongo flava, genge na Luganda mpate burudani, msuuze roho zenu kwa muziki safi na maDj magwiji Afrika mashariki wa Washington Metro Area


address ni

7926 Georgia Av,

Silver Spring

Md 20910

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. tumezeeka siku hizi maraha subiri watoto wetu wakue

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...