Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Tanzaniaaaaaa!!tanzaniaaaaa nakupenda kwa moyo woteeeeeee...nchiiii yangu tanzaniaaaaa jina lako ni tamu sanaaaaaaaaaa!!

    mdau
    wits university-jozi

    ReplyDelete
  2. KP ni kweli kabisaa hii Serikali kam iko likizo tutaona kama hawawez wafutiwe leseni wapewe wanaoweza,Hii ni Aibu Nchi haina mwelekeo Mgomo sio Solution Kabisaa

    ReplyDelete
  3. kweli kabisa kp watanzania tunastahili kuwa na serikali inayofanya kazi kwa ajili ya wananchi sio kila siku watu wanajitesea wanyonge tu.

    ReplyDelete
  4. Mjomba... mgomo mwengine huo. Mjomba kipindi chako kinaongoza kuwa kipindi cha migomo mingi huenda kuliko kipindi cha kiongozi yeyote yule duniani. ...natania tu lakini.

    ReplyDelete
  5. Aah ingekwua huku holland watu wangejinoma na baskeli kama kazi au treni its easy and cheap.Sio lazima magari tu kwa short trip za mjini tu.Poleni anyway !

    ReplyDelete
  6. asa we anony 13jan 9.03pm unamwambia nani kama uko holland?..

    swala ni kujadili kipi kifanyike kutatua tatizo na wala sio kujishaua uko holland
    muone kwanza pole mwenyewe

    ReplyDelete
  7. Ni jambo la kipuuzi sana hata kulijadili katika blog hii. It is a vicious circle of how things are in this ridiculous country of ours. Maisha yamekuwa ni unafiki uliojaa u-nahau katika kila ngazi, sekta na nyanja yoyote unayoweza kuifikiria. Nchi utafiki genge la mama ntilie kwa kila jambo! Na hata mama ntilie wana afadhali kwa umakini wa kuendesha mambo. Ni aibu hata kufikiria kwamba mambo ya kishenzi kama haya yanaweza kutokea kwa ka-nchi kamaskini kama haka ketu. Ni maendeleo gani tunayojidai kupigania? Eti jitihada za kumkwamua mwananchi kutokana na ufukara wa maisha...wapi na wapi. Ni ubulicheka wa kwelikweli. Upuuzi huu...and shame upon all of us. Wee angalia chaguzi zinavyoendeshwa kifirauni...mtu akidanganywa na vikanga na mnazi...kura anauza! Na si hata kwa kusema ni kiwango cha kuwahadaa pimbi wawili watatu, bali wote sasa tumegeuzwa pimbi, na hata yule anayeongoza hajui analopaswa kufanya na hajali wala kuumiza kichwa chake kutekeleza yale anayopaswa kuwa majukumu yake. Hatufiki popote. Ila wapo wachache wenye kufaidi, tena kupindukia na wana jeuri ya kufanya lolote, na jeuri hiyo tumewakabidhi sisi wenyewe kwa ujinga wetu. Huku ndiko kuangamia. TUAMKE!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...