Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wewe kipanya hata kama ni cartoon,hakikisha ze english inakwenda vizuri.Ni DO YOU THINK....siyo simply YOU THINK... halafu mwishoni unaweka alama ya ?.Ungeandika YOU(DO)THINK I WILL CHANGE THE WORLD.DON'T YOU?Umeasahau mambo ya Question Tags?Anyway,mimi nimesoma masomo ya Sayansi kidato cha tano na sita naweza kuwa nimekosea vile vile.

    ReplyDelete
  2. Sasa unasahihisha nini kama huna hakika na unachosahihisha?Mijitu mingine bwana!

    Kipanya kaweka kama ambavyo anataka ifike muradi afikishe ujumbe(ndio maana ya katuni).Angekua anaandika makala akakosea ungekuwa una haki,sio unatoa jicho hadi kwenye katuni!

    ReplyDelete
  3. David Villa Hujakosea kabisa...Kweli nakuaminia Hapo lazima Kipanya ajifunze kutumia Auxiliary Verb au kwa wengine wanapenda kuita Helping verb...kama english inakupiga chenga kidogo pitia pale British Council watakubrush kidogo...

    Mdau...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...