mamodo wakipimwa na dizaina zamda ikiwa ni maandalizi ya shoo kabambe ya lady in red inayoandaliwa na mama wa mitindo asia idarous mwezi ujao
dizaina zamda masoud akimpima mmoja wa mamodo kabla ya kumbuni kivazi atachokionesha kwenye shoo ya lady in red ya asia idarous
dizaina akimpima modo huku mama wa mitindo asia idarous akiangalia katika kujiandaa na shoo ya lady in red mwezi ujao. jumla ya mamodo 17 wataonesha si chini ya mitindo 80 ya madizaina 10 wataoshiriki kweny shoo hiyo inayosubiriwa kwa hamu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Binti zangu, mnapendeza! Lakini something must be done regarding
    "hayo manywele yenu ya kisasa"!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. wee annon wa kwanza
    una makengeza??minywele ipi wadada wote apo ni nywele zao,except alosuka rasta tu ambazo ni asili yetu ata wamasai wasuka!!!sema uyo kaka alovaa hereni au kwako sawa tu!
    weee vipi??
    afu uyo mwanaume apo nyuma pic ya kwanza afanyani na mihereni iyo?
    aggghaaaahhh @'~#&**"'~##

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...