Mwenyekiti wa Kamati maalum ya kuchunguza mkataba wa Richmond Dk.Harison Mwakyembe (MB) akipongezwa na wabunge wenzake mara baada ya kusoma ripo yake Bungeni mjini Dodoma mwaka jana.Mbunge wa Kyela na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe amesema kuwa mashtaka mbalimbali yanayoletwa hivi sasa dhidi ya watuhumiwa mbalimbali wa ufisadi bado ni "mepesi" na anatarajia kuwa baada ya uchunguzi kufanyika zaidi mashtaka hayo yatabadilishwa na kuwa mazito yakiwemo yale ya sheria ya Uhujumu uchumi.
Hayo na mengine mengi ameyasema katika mahojiano yake na KLHN ya mwanakijiji.com ambayo yalirushwa moja kwa moja siku ya Jumapili. Unaweza kuyasikiliza mahojiano yote tena kwa kutembelea kwa kubonyeza kiungio hapa chini.
Wakati huo huo ofisi ya Waziri Mkuu imetoa ufafanuzi juu ya kauli za Waziri Mkuu alizozitoa hivi karibuni huko kanda ya ziwa ambapo ilidaiwa alisema mambo ambayo yanayoonekana kutia shime watu kujichukulia sheria mkononi. Unaweza kusoma majibu hayo na maswali ambayo tuliyatuma kwao mahali pekee kwenye http://www.mwanakijiji.com
Licha ya majibu hayo msimamo wangu ulioko kwenye kijarida cha "Cheche za Fikra" na mapendekezo ninayoyatoa kwenye gazeti la Tanzania Daima la leo bado yanasimama.
M. M. Mwanakijiji
Title: KLH News Episode: Mwakyembe aunguruma
"Mashtaka yanayoletwa ni mepesi"
/entry/2009-01-27T22_20_40-08_00
Enjoy!


Mwanakijiji.com KLHN mi naona upumzike tu na radio yako na blog yako. Michuzi is michuzi. Utaandikaje article kwemye NEw York Times halafu uwaambie watu waende Wall Street Journal kuapata habarai zaidi. Kama watu hawaji huko usiwavute kwa nguvu. Haipendezi kabisa. Michuzi ni muungwana sana.Hana choyo lakini wewe hiyo tabia punguza. Tunapenda KLHN lakini usivute watu wa michuzi.com kwa kutumia nguvu. Samahani kama ukweli unauma.Haipendezi kabisa. Weka article bila kuwaambia watu waje KLHN.
ReplyDeleteMichuzi inabidi umchaji KLH News kwa kujitangaza humu.Biashara ndio hivo. Ruthlessness and Capitalism works. Hamna mchezo hapa. Uliona wapi Fox News anamwambia mtu aende CNN? Watu wenyewe ndio wanaamua. Unahitaji lecture kuhusu taalumaya habari na vyombo vya habari na ethics? Sidhani. Hamna haja ya kulumbana jaribu kuelewa inakera watu.KLH ni nzuri.
ReplyDeleteNAMTAFUTA RAFIKI YANGU/DADA YANGU ANAITWA MARY MWIWA KIEGEZO SHELUKINDO. YEYOTE ANAYEJUA CONTACT NAOMBA ANIFAHAMISHE KWA NAMBA YA SIMU 0715 872606
ReplyDeleteWEWE UNAYEMTAFUTA MARY MWIWA KIEGEZO SHELUKINDO UPO NCHI GANI? KWANI NI VIZURI UKAWEKA NA TELEPHONE CODE NUMBER YA NCHI KUNA WATU WANAWEZA KUWA WANAMJUWA ALIPO LAKINI WAKO WAKASHINDWA KUWASILIANA NAWE PENGINE UPO NJE YA TANZANIA HIVYO WAKASHINDWA KUJUWA CODE YA NCHI ULIYOPO. MWISHI HUMU KWA MICHUZI HATUTAKI POLITICS, HUYU BWANA NA RADIO YAKE AENDE ZAKE AITANGAZE KIVYAKE VYAKE, IT HAS BEEN SO LONG TIME NOW AND POLITICS HAS DONE NOTHING TO US AS WELL. TUNAWATENGEZEA MAISHA BORA WAO TU MARA TUKIWAPA KURA ZETU NA KUWAKABIDHI OFFICE.
ReplyDeleteHIVI HUYU DK MWAKYEMBE NI NDUGU NA TABU LEY. YULE MWANAMUZIKI WA CONGO? NAOMBA JIBU WADAU
ReplyDeletehuyo jamaa mbona kamng'ang'ania sana mwakyembe mkononi?
ReplyDeleteNaona Mwanakijiji kauliza masuali mengi, ya msingi na kwa nguvu inayotakiwa, na Mheshimiwa Mwakyembe kayajibu kwa uhodari na kujiamini. Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa, na naishutumu CCM kwa mengi, ila nimevutiwa na jinsi mhojiwa anavyoelezea sababu za kuwemo kwake katika CCM. Akiwa ni mwanasheria, naona amefafanua vizuri suala la kesi za watuhumiwa wa ufisadi. Ni vema nikamalizia kwa kusema kuwa, kama Watanzania wengine, namshukuru Mwakyembe na tume yake kwa kazi kubwa waliyofanya ya kuchunguza suala la Richmond.
ReplyDeleteBrela chief: EPA scam suspects forged my signature
ReplyDelete2009-01-28 10:38:18
By Guardian Correspondent
Business Registration and Licensing Agency (Brela) CEO Esteriano Mahingira told a Dar es Salaam court yesterday that Kiloloma and Brothers Company partners forged his signature to facilitate the theft of 1,864,949,294.45/- from the Bank of Tanzania`s External Payment Arrears (EPA) account.
Mahingira made the allegations in the Kisutu Resident Magistrate`s Court before a panel of three magistrates led by Cypriana William, the others being Saul Kinemela and Focus Bampikia.
The Brela chief said his office registered a company known as Kiloloma Bros Enterprises, situated in Iramba Street Magomeni House Number 7, on April 14, 2005.
Elaborating, he told the court that the Kiloloma and Brothers Company partners forged documents bearing his signature and dates to those of a genuine company whose name he gave as Kiloloma Bros Enterprises.
Mahingira said his office never registered Kiloloma Brothers, whose available documents show that accused Rajabu Maranda and Farijala Hussein were the partners authorised to operate.
There was also nothing showing that Kiloloma and Bros had officially sought to have its named changed as required by regulations governing company registrations, he added.
In the main case, Maranda and Hussein stand charged with conspiracy to forge a company`s name and stealing 1,864,949,294.45/- from the central bank account in 2005. The case resumes today.
SOURCE: Guardian