mjumbe wa kamati kuu ya CCM mh. John Malacela akimnadi mgombea ubunge wa chama hicho wa kiti cha Mbeya Vijijini Mchungaji Luckson Mwanjale katika mkutano wa hadhara kata ya Ihango kijiji cha Idimi wikiendi hii. picha na mdau Jiang Alipo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Bravo Mchungaji Luckson Mwanjale. Tunakutakia ushindi wa kishindo. Tuna imani na wewe ukizingatia wewe ni mtumishi wa Mungu. Kila utakaloliahidi kwenye kampeni tuna imani utakuja kulitekeleza mara tu utakapokuwa mbunge. Maana amri za Mungu zinazuia kusema uongo. Usiahidi mambo mengi ambayo hayatekelezeki maana kitakuja kuwa ndiyo kitanzi chako ifikapo mwaka 2010. Kumbuka ni mwaka mmoja tu ujao.
    Kidumu chama cha Mapinduzi
    Mdau wa Oslo
    Mdau

    ReplyDelete
  2. malecela umekula ndaba na wewe kumbe umo

    ReplyDelete
  3. Tunamtakia heri mbunge mtarajiwa Mwanjale lakini vilevile tunafurahi kuona "Dume la ng'ombe" Mzee Malecela amerudi zizini

    ReplyDelete
  4. MCHUNGAJI VIPI UNALIKIMBIA HEKALU LA BWANA NA KWENDA KUSHABIKIA UONGO NA UFISADI, TUNAJUA WEWE ULIKUWA MMOJA WA WALE WALIOWALAANI KWA KUENDESHA SALA WALIOFICHUA UFISADI. KUMBE KANISA HALILIPI.

    ReplyDelete
  5. wewe annon apo ulosema "kumbe kanisa halilipi" wewe ni msikiti nini???
    hahahahaaaaa utawatambua kwa matendo yao "actions speaks louder than words"
    oyaaaaaa michu weka hii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...