Home
Unlabelled
malecela amnadi mgombea wa CCM mbeya vijijini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bravo Mchungaji Luckson Mwanjale. Tunakutakia ushindi wa kishindo. Tuna imani na wewe ukizingatia wewe ni mtumishi wa Mungu. Kila utakaloliahidi kwenye kampeni tuna imani utakuja kulitekeleza mara tu utakapokuwa mbunge. Maana amri za Mungu zinazuia kusema uongo. Usiahidi mambo mengi ambayo hayatekelezeki maana kitakuja kuwa ndiyo kitanzi chako ifikapo mwaka 2010. Kumbuka ni mwaka mmoja tu ujao.
ReplyDeleteKidumu chama cha Mapinduzi
Mdau wa Oslo
Mdau
malecela umekula ndaba na wewe kumbe umo
ReplyDeleteTunamtakia heri mbunge mtarajiwa Mwanjale lakini vilevile tunafurahi kuona "Dume la ng'ombe" Mzee Malecela amerudi zizini
ReplyDeleteMCHUNGAJI VIPI UNALIKIMBIA HEKALU LA BWANA NA KWENDA KUSHABIKIA UONGO NA UFISADI, TUNAJUA WEWE ULIKUWA MMOJA WA WALE WALIOWALAANI KWA KUENDESHA SALA WALIOFICHUA UFISADI. KUMBE KANISA HALILIPI.
ReplyDeletewewe annon apo ulosema "kumbe kanisa halilipi" wewe ni msikiti nini???
ReplyDeletehahahahaaaaa utawatambua kwa matendo yao "actions speaks louder than words"
oyaaaaaa michu weka hii