MDOSI PRODUCTION, SHABEEN ENT. NA LUKE MUSIC FACTORY
wanakukaribisha popote pale ulipo,ujumuike na sisi na wewe uwe mmoja ya wale watakao shuhudia kwa mara ya kwanza katika historia,Washington Dc siku nne mfululizo bila tone la usingizi,mjini SILVER SPRING na kiota kipya cha maraha.
Dj Luke,DJ Banti,Dj Dhongar wakishirikiana na NAMELESS kutoka KENYA maalum kwa OBAMA na wimbo wao maarufu Nasinzia.
Karibu LOS ARRIEROS NIGHT CLUB,
downtown Silver Spring,
kuanzia ijumaa Jan 16 mpaka 19
address ni
7926 Georgia AV,
Silver Spring Md 20910
karibuni kwa Obama

Visit my website at

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...