Pichani ni moja kati ya kumbukumbu za vifaa vya Nguli wa Muziki wa Reggae duniani hayato Bob Marley. GAri hili aina ya Land Rover likiwa limehifadhiwa kwa ajili ya wale wanaotembelea kuona na kujua historia ya mwanamuziki hayati Bob Marley huko Kingston Jamaica. Kwa habari na matukio ya Burudani tembelea

E bwana vitu vya huyo mtu vinatisha katika fani nzima ya muziki wa reggae,umenikumbusha mbali sana.
ReplyDeletekaka Michuzi umenikumbusha safari yangu ya Jamaica. Nami niliwahi kutembelea hapo na kuona hilo gari, kitanda alicholalia,sahani alizolia, na vingi tu. Nilipatwa na furaha isiyo na kifani kutembelea hiyo nyumba ya the King of reggae.Kingston,Jamaica. Me feel good!
ReplyDeleteNdimi mzalendo mpenda amani.
Pamoja na kwamba kuna suala la tofauti za nyakati na maendeleo, lakini among other things, real legends of this world are always identified/defined by their simplicity towards life and materials things.
ReplyDeleteNajaribu kuimagine makumbusho za watoto wake au wazee wa bling bling kama kina The Devil (Diddy), Fiddy (50 Cent) na Jigga. Usipime...!!!
Peace and love!