

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mshindi amekabidhiwa kweli zawadi yake hongera sana..lkn naomba jibu kuna blog mbili tu ambazo zinatembelewa kwa wingi siku za hivi karibu nikiwa na maana za wabongo wanaongea kiswahili ya hii yetu ya wananchi na ile ya akinanhii wa kijiramba hivi ni ipi inatembelewa na watu wengi zaidi?
ReplyDeleteMi naomba kuuliza jamani, hivi hawa kina-dada wanapojipaka hizo rangi kwenye sura hawaoni kuwa wanakuwa kama vinyago jamani. Hivi hamna jinsi ya kufanya hizo rangi zifanane na ngozi yao.
ReplyDeletesasa ebu check huyo mgeni rasmi, rangi ya sura na shingo ni tofauti.
Mdau
mdau, sio kujipaka tu rangi usoni, bali pia kuvaa nywele bandia alimradi ukaribie zaidi kuonekana kama 'mzungu'!!!! wabantu mungu alitulaani.
ReplyDeleteHuyo ndiyo mama Dotnata mama wa mapoudouuuuuuuuuz huyo na Maimatha wa Jesse wako tayari washinde njaa ila mradi tu waingie S.H Amon!!!
ReplyDeleteteh teh the
nyie inawahusu nini na mapoudazz yao?wake zenu wako natural wapaka rays,,,
ReplyDelete------na roho zenu za kwanini!mtakufa vibudu