mamaa dotnata akimkabidhi zawadi mdua harith nassor ambaye ni mwakilishi wa mdau wa milllioni 5 wa tovuti ya global publishers mchana wa leo kwenye duka la vipodozi la arise beauty supply ambao ndio wadhamini wa shindano hilo ambapo wametoa simu mpya ya blackberry. sherehe hizo fupi zilishuhudiwa pia na balozi wa nanihii na fulanazzz yake
bosi wa global publishers abdallah mrisho akimwelekeza namna ya kutumia blackberry huku mgeni rasmi mamaa dotnata na wafanyakazi wa duka la vipodozi la arise beauty supply wakisikiliza
mwakilishi wa mshindi akipozi na waliohudhuria sherehe hizo
mamaa dotnata akipokea zawadi toka kwa meneja mkuu wa maduka ya arise beaty suppy rose bernard wakati wa sherehe hizo
bosi wa global publshers abdallah mrisho naye anapatiwa zawadi ambayo ni pafyumu na deodoranti maarufu kwa kupig vita kikwapa





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mshindi amekabidhiwa kweli zawadi yake hongera sana..lkn naomba jibu kuna blog mbili tu ambazo zinatembelewa kwa wingi siku za hivi karibu nikiwa na maana za wabongo wanaongea kiswahili ya hii yetu ya wananchi na ile ya akinanhii wa kijiramba hivi ni ipi inatembelewa na watu wengi zaidi?

    ReplyDelete
  2. Mi naomba kuuliza jamani, hivi hawa kina-dada wanapojipaka hizo rangi kwenye sura hawaoni kuwa wanakuwa kama vinyago jamani. Hivi hamna jinsi ya kufanya hizo rangi zifanane na ngozi yao.

    sasa ebu check huyo mgeni rasmi, rangi ya sura na shingo ni tofauti.

    Mdau

    ReplyDelete
  3. mdau, sio kujipaka tu rangi usoni, bali pia kuvaa nywele bandia alimradi ukaribie zaidi kuonekana kama 'mzungu'!!!! wabantu mungu alitulaani.

    ReplyDelete
  4. Huyo ndiyo mama Dotnata mama wa mapoudouuuuuuuuuz huyo na Maimatha wa Jesse wako tayari washinde njaa ila mradi tu waingie S.H Amon!!!
    teh teh the

    ReplyDelete
  5. nyie inawahusu nini na mapoudazz yao?wake zenu wako natural wapaka rays,,,
    ------na roho zenu za kwanini!mtakufa vibudu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...