Ndugu wadau,Kwa ratiba za application kwa ajili ya mwaka wa masomo huu 2009 (mwezi August na September), ndio zinaelekea ukingoni. Hivyo, nimeweka list ya scholarships, hizi zote ni kutoka kwa ERASMUS MUNDUS http://ec.europa.eu/education/programmes
/mundus/projects/index_en.html.
Kwa sheria za Mundus, huruhusiwi kufanya application zaidi ya tatu, hivyo chagua upendazo, na unazoona una sifa ndio ujaze, zikizidi tatu, inakula kwako. Kama muonavyo, list hii kwa chini imeonesha DEADLINE yake, hivyo ni mwendo wa faster ktk kufanya application.
LIST NI KAMA IFUATAVYO:
1. Environment
eciu-gs/pro_joint_jemes.html
Deadline 31st Jan 2009
Deadline 9th Jan, 2009
3. Master in Informatics
/eumi/how_to_apply.xml?lang=en
Deadline 18th Jan,2009
4. Space Master
Deadline 15th Jan, 2009
5. Space Technology
Deadline Febr 2, 2009
6. Security and Mobile Computing
NordSecMob/admission/index.html
Deadline 9th Jan, 2009
7. Models and Methods of Quantative Economics
Deadline 6th Febr, 2009
Also at
/eco_gestion/ufr27/study-in-english/
erasmus_mundus/admissions_
and_scholarships/article3971.html
Deadline 16th Jan 2009
9. Marine Biodiversity
10. Trade Law and Finance
11. Economy, State and Society
Deadline 21st Jan
12. Management of Information Technology
Deadline 15th Jan
For More Opportunities
MDAU- MAKULILO Jr
+13046330978
E-mails
Thanks mdau Makulilo mdogo....mwaka huu mpya lazima tutoke na huyo erasmus.
ReplyDelete