Home
Unlabelled
miriam odemba aonana na mama Salma Kikwete
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Maria amekuwa mdada sasa,nakumbuka mara ya mwisho nilimuona wakiwa Pwani(sarungi as RC CR).
ReplyDeletethankx for sharing
Hallo Maria, hongera sana, keep it upo kuna siku utashangaza dunia, ila mbona umebadilika sana? umekata nywele kwa joto nini? maana joto letu hapa soo, pole sana but hongera kwa kazi nzuri
ReplyDeleteinabidi watu wote wa mashindano hapo bongo wamuinge sarungi
ReplyDeletewatu wake wanafika mbali kwenye mashindano. inaelekea anautaalamu wa mashindano ya kimataifa..unamkumbuka flaviana na huyu wote wanaenda mbali . sio wale watu wengine wao watu wao wanaowachagua ni kusindikiza tu kila siku
Balozi exraordinary and plenipotentiary Michuzi, Naomna ukimwona JK mwambie lini ataongea na Bunge kuruhusu pasi mbili, nachoka koumba viza kutembea nchini kwangu, pia nataka kununua ardhi ili nijenge kibanda changu. Shukurani.
ReplyDeleteBingwa wa Kusambangalanga Mavituz na Mikonoz ya mademuz
Miriam Odemba naona mambo ya urembo sasa naomba yafikie mwisho. It is time sasa ya wewe kuwa mama na ukalee familia. Mambo ya kuendelea tu kuwa miss mpaka lini? You seem old and you deserve to be housewife. Nadhani vijana it is high time sasa kwenda kupeleka posa kwa Odenba ili aolewe.
ReplyDeleteMdau
@ 3:59 am wewe umeolewa au kazi kusema wenzenu.
ReplyDeleteMwache ainjoy life siku ikifika ataolewa. Wewe ni ndugu yake na kama sio inakuuma nini?
Wewe unaesema Odemba akaolewe mbona unakuwa kama kajogoo ka kienyeji?? Kule kando ya ziwa tunaamini kuwa kajogoo ka kishenzi kakiona hata kifaranga kimependeza tayari kanataka kuoa.
ReplyDeleteMwacheni Odemba ale nchi
Maria Odemba ana bahati kweli; nywele zake zinakua; kama uyoga!
ReplyDeleteAle nchi na atazaa watoto lini? It is her prime age kuwa na watoto na kuitwa mama. Mambo ya urembo awaachhie chipukizi. Ameshapitwa na wakati. Anatakiwa aingie kwenye kundi la akina mama wenye familia. Shauri yake ngoja aendekeze mambo ya urembo na baadaye akishazinduka kutaka kuolewa tayari yuko kwenye 35-40 na ndiyo basi tena. It is a free advice lakini ninyi akina anonymous mnaoumpa courage haya shauri yake?
ReplyDeleteMdau
Jamani wadau ebu nipe jibu huyu Maria Sarungi ndiye yule aliyesoma LAKE SECONDARY -MWANZA alikuwa na dada yake walikuwa wanakaa Mwanza (city rock) sehemu fulani inaitwa Ghana..?kama ni YEYE BASI KABADILIKA SANA ALIKUWA MTOTO BOMBA SANA PALE LAKE MBONA KACHOKA MAPEMA MTOTO WA JUZI JUZI APASWI KUWA HIVYO ...LAKINI YOTE MAISHA MUHIMU UMEPANDISHA CHATI UNAKUTANA NA MAMA JK. MAISHA YANAENDA.
ReplyDeleteMdau wa Lake(Furniture centre)
Kasikoga-Sweden
we anony wa 9.32pm aliyekwambia ukimbilie kutafuta karatasi la ulaya nani?.. ndo nyie-nyie wajinga eti kwa kuwa mmefika ulaya basi mnakimbilia kuoa vikongwe mkipata permanent visa mnakimbilia kuchange passport
ReplyDeletemichu hakuna kufikisha ombi lake kokote ye si aliukana utanzania sasa muache aonje joto la jiwe
na una bahati hujasema uko nchi gani coz nigechonga na visa ya kuja bongo wakunyime
mshamba mkubwa wee wa sivimbi
Hongera sana Miriam Odemba.Jamani wadau swali ambalo najiuliza kila siku ni kwamba mbona hawaongelii kuhusu umri wake hata kidogo.Na kawaida warembo wengi wakishiriki haya mashindano ni lazima waonyeshe umri cha ajabu kwenye blog zote hata newspapers hamna any mentioning her age.Huyu ameanza mashindano ya urembo miaka ya 1994 na kipindi hicho she was 14-16 or something na ukipiga mahesabu ya haraka she is 28 maximun 30.Halafu cha kuchekesha zaidi in one of the Tanzanian magazines ya this month eti amesema she was born in 1983,so does that mean she was 11 when she first started this thing in 1994.
ReplyDeleteIn short nakubaliana na wadau wachache hapo juu ni kwamba huyu dada umri umeshaenda.
Anony 1:06.
ReplyDelete* Kwanza hunifahamu, usiropoke tu.
* Pili,Sina pasi ya Ulaya ila ya Kanada. Sijaipata kimagendo. Nimeomba viza hapo hapo Bongo na nikapewa. Mtu yoyote mwenye elimu ya chuo kikuu, historia ya kazi ya miaka mitatu na dola elfu kumi anapewa viza ya kuishi Kanada akiomba.
* Tatu, sijaowa kizee, ila kijana mwenzangu na si mgeni. Kama nimeoa kizee au kijana sijui hii kwa nini iwe biashara yako ya kujali. (Kwa Kiingereza ni "None of your Business" .
* Nne, Nilipoandika kwa Balozi Michuzi, nilikua natania. Unajua maana ya sense of humour? Tabia ya Uchekeshi.
* Tano, mambo ya kutishana yameshapita, sasa tuna kitu kinaitwa Demokrasia. Huna ubavu wa kunipinga nisije nyumbani kuona familia yangu kwa kutumia pasi ya Kanada. Mwenye ubavu huo ni Serikali peke yake.
* Sita, Pasi yangu ya Tanzania sijaichana wala uraia kuikana. Kutumia pasi mbili Tanzania si ruhusa kwa sasa lakini swali hili linazungumziwa ili turuhusiwe tuwe na pasi mbili kihalali kama nchi nyingi duniani sasa. Kwa hivyo natumia pasi ya Kanada kwa usafiri ili niweze kurudi na kusafiri ulaya bila ya kuomba viza.
Jibu langu la kwanza lilibanwa. Nategemea utapata jibu hili.
Aluta Kontinua.
Mdau Anony 9:32
wewe uliesema Miriam akifika miaka 35 au arobahini hato olewa unachekesha sana.
ReplyDeleteuzuri alio nao na anavojiheshimu hata akifika miaka 50 wanaume watatowa posa.