
Toka kwa
Pichani ni mrembo Miss Brazil, Mariana Bridi (20) ambaye amefariki dunia leo asubuhi huko Brazili baada ya kuugua ugonjwa wa bacteria usio na tiba.
Hivi karibuni alikatwa sehemu ya tumbo na mikono na miguu yake kusudi bacteria usisambae zaidi mwilini mwake. Jitihada za kumwoka hazikufanikiwa.
Awali madkatari walidhani ana ugonjwa kwenye njia ya kupitisha mkojo. Bridi aliwahi kushiriki katika mashindano ya urembo wa Miss World. Alikuwa mmoja wa warembo watano bora.
Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni.
Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni.
Amen.
Kwa habari zaidi someni:
stall/2009/01/mariana-bridi-da-costa.html
homepage/news/article2160372.ece
/story/0,25197,24960178-12377,00.html


Vipi ndugu yangu? Huyo mrembo amefariki karibu siku tatu zilizopita na si leo kama ulivyomnukuu dada yetu Chemponda.Vipi mambo lakini?Wanasemaje lango la jiji.Karibu tena Pumbu Dr. hapa Kinshasa.
ReplyDeleteHuyu mbona kafariki toka tarehe 23 Jan 2009 baada ya kufanyiwa operation ya kukatwa miguu na mikono yote kufail.
ReplyDeleteMungu amlaze mahali anapostahiki pia hali hiyo itatowa elimu hapa kwetu kutokana na dhana tulizonazo na kama ingekuwa hapa BONGO basi hakuna shaka watu wangeweza kusema ni uchawi tuwacheni haya mambo ya kuamini uchawi kuwa ndiomaendeleo au kinga ya maradhi
ReplyDeleteivi wanadamu tuna nini cha kujivuna??yani leo uko mzima kesho ndo kama uyo dada eti ugonjwa wa bacteria usiopona!!why walimfanyia operesheni ilhali walijua hauponi?wamemtia mwezao maumivu ya bure tu,ata ivo yan kwa urembo woote huo angeweza kweli kuishi no miguu,no mikono,tumbo limekatwa
ReplyDeleteaisee Mungu atuhurumie
Dr. Remmy alisema kifo ni kiboko yao. Kifo hajali wewe ni mzuri,mrembo,Waziri,Rais. Demu alikuwa mzuri kinoma lakini mbele ya kifo alikuwa sawa na taahira fulani.Rest in peace
ReplyDelete