zandhi makeba, ambaye ni mjukuu wa marehemu mama afrika miriam makeba, anaendeleza libeneke kama msanii mwalikwa katika bendi ya tanzanite, wana kidude. hapa ni katika mnuso mmoja usiku huu mitaa ya mbezi, dar
kwa wanaopenda kujikumbusha wimbo wa 'kidude' wa tanzanite band

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani wahenga walijisemea kuwa "MAVI HUFANANA NA MNYAJI" kumbe libeneke bado linaendelea wat a releaf, Bro Michu ungetusikizisha basi hapa hicho anachokiimba.

    ReplyDelete
  2. Namtakia kila la kheri na mafanikio makubwa Zandhi Makeba siku zijazo ili aipeperushe bendera ya bibi yake Miriam Makeba na ikibidi awe juu zaidi kuliko bibi yake.Nchini Tanzania mama Miriam Makeba tuliupenda sana muziki wake na ujumbe wake uliwagusa wengi toka tulipo anza kuzisikia nyimbo zake bado tukiwa vijana wadogo kabisa.Miriam Makeba alipata mafanikio makubwa sana duniani katika ulimwengu wa muziki.Alikuwa mama,mwanamuziki,mwalimu na mkombozi.Yoye hayo Zandhi ataweza kabisa kuyapita iwapo hatokatishwa tamaa na vikwazo vingi atakavyo kabiliana navyo katika jitihada zake za kila siku!Mungu akubariki.akulinde na akujaze nguvu na ujasiri wa kufanya mema na makubwa zaidi maishani!Bara la Afrika na Ulimwengu mzima unakutazama na kukusubiri wewe Zandhi waone nini kile utakachofanya tofauti na Bibi yako Miriam Makeba,Mungu amlaze mahala pema peponi amina!-tonny-

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...