1. Manchester United 21-14-5-2-24-47-2
2. Liverpool 21-13-7-1-22-46-3
3. Chelsea 22-13-6-3-29-45-4
4. Aston Villa 22-13-5-4-13-44-5
5. Arsenal 22-12-5-5-13-41-6
6. Everton 21-10-5-6-4-35-7
7. Wigan Athletic 22-9-4-9-2-31-8
8. Hull City 22-7-6-9-13-27-9
9. Fulham 19-6-8-5-4-26-10
10. West Ham 21-7-5-9-4-26-11
11. Manchester City 21-7-4-10-9-25
2. Liverpool 21-13-7-1-22-46-3
3. Chelsea 22-13-6-3-29-45-4
4. Aston Villa 22-13-5-4-13-44-5
5. Arsenal 22-12-5-5-13-41-6
6. Everton 21-10-5-6-4-35-7
7. Wigan Athletic 22-9-4-9-2-31-8
8. Hull City 22-7-6-9-13-27-9
9. Fulham 19-6-8-5-4-26-10
10. West Ham 21-7-5-9-4-26-11
11. Manchester City 21-7-4-10-9-25
Hapo kuna wanaoomba kitokee kitu ili ligi iishie hapo.... mambo bado watani!


mliobaki gombeeni nafasi ya pili na ya tatu sasa !
ReplyDeleteLigi imekwisha hiyo ,mwakaaaani !
Roho itakuuma sana.Timu yako na inayoongoza zimecheza mechi sawa.Hivyo kuongoza kwao Man United ni on merit.Sio kwa wewe kucheza mechi pungufu.Ligi haitaisha hivyo kwani utaporomoka na kuwa wa 3 au wa 4.Huna ubavu wa kubaki hapo juu kwa muda mrefu.Habari ndio hiyo.Na kocha kageuka Bensiski wa Simba pressure imemshinda anataka kukitoa.Kakumbuka shuka alfajiri kwani masuala ya wachezaji alikuwa anashughulikia nani??Au ndio kama bongo anaingiliwa kupanga timu???
ReplyDeleteKAKA MAN U TUMEZOEA MANENO MANENO KWA TAARIFA YAKO TUSHAITWA HADI LIPULI LAKINI BADO TUNASONGA. NA KIBYA KILICHOFANYIKA KUTURUSU SISI KUWA HAPO JUU HATUTOKI MPAKA LIGI INAISHA KWA TAARIFA YAKO TUU USIMWAMBIE MTU MWINGINE TUNAMCHUKUWA KARIMU BENZEMA DIRISHA DOGO HABARI NDIO HIYO
ReplyDeleteAaaah, kwani hujui hilo?ligi imeisha hiyo, baba mwenye nyumba karudi juu, wapangaji mtafute pa kwenda tu.
ReplyDeleteTaniboi huwa anamsaidia Dereva kuendesha lakini kamwe hawezi kumbadili dereva atabaki na utani boi wake tu.Bwawa la Maini ni taniboi tu.
ReplyDeleteMbona hii ligi ndio itakavyoisha na Benetiz atajiuzulu kwa kudai kwamba hakupewa fungu la usajili wa January.
ReplyDeleteKazi ipo Kesho J'Tatu mtakapo anza kutoa macho na draw yenu kwa Everton.
lol
ReplyDeleteYakhe mdau uliotundika huwoo msimamo, mboni mie naona ni kitu kituko miee.
ReplyDeleteMana sioni aliye wa kwanzaa, ManUtd inaonesha kuwaa ni ya pilii, Liverpool ya tatuu na chelskii ya nnee?!!
Wa kwanzaa sasa ni yupii?
Mdau
Pemba.
Mimi nina kaswali, hivi mchezaji bora wa dunia anachezea timu gani?
ReplyDeleteHaya sasaaaaaaaaa... Liverpool mshadro na Everton, yaani njia ni nyeupeee kuelekea kwenye ubingwa... Man U juu
ReplyDelete