NAIBU WAZIRI KIONGOZI WA ZANZIBAR Mh. ALI JUMA SHAMHUNA AKIWASILISHA MSWADA WA SHERIA YAKUANZISHA BODI YA SENSA NA FILM ZA MAONYESHO KWENYE BARAZA LA WAWAKILISHI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nakumbuka huko nyuma enzi za aboud jumbe kulikuwepo na kamati ya sensa, sijui kama iliendelea baada ya jumbe kuondoka. jee hii bodi ilikuwa inafanya kazi kinyume cha sheria za nchi?

    ReplyDelete
  2. Napendekeza wajumbe wa bodi wawe ni watu wenye uwezo na sifa za fani hiyo, waoelewa maadili na silka zetu, wasioonea haya mtu ama kupendelea ama kuonea kwa misingi ya "ni nani aliefanya, anatoka wapi" nk
    Big UP mheshimiwa Shamhuna na Mahmod, mdau

    ReplyDelete
  3. Kuna mtu anaweza kunipa zaidi maelezo kazi ya hii bodi itakuwa nini. Nitashukuru msaada wowote nitakaopata, hata kwa kifupi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...