Home
Unlabelled
mswada wa bodi ya sensa wawasilishwa barazani zenji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nakumbuka huko nyuma enzi za aboud jumbe kulikuwepo na kamati ya sensa, sijui kama iliendelea baada ya jumbe kuondoka. jee hii bodi ilikuwa inafanya kazi kinyume cha sheria za nchi?
ReplyDeleteNapendekeza wajumbe wa bodi wawe ni watu wenye uwezo na sifa za fani hiyo, waoelewa maadili na silka zetu, wasioonea haya mtu ama kupendelea ama kuonea kwa misingi ya "ni nani aliefanya, anatoka wapi" nk
ReplyDeleteBig UP mheshimiwa Shamhuna na Mahmod, mdau
Kuna mtu anaweza kunipa zaidi maelezo kazi ya hii bodi itakuwa nini. Nitashukuru msaada wowote nitakaopata, hata kwa kifupi.
ReplyDelete