Sir ALEX FERGUSON anapenda kuwaomba radhi ndugu, jamaa na marafiki ambao alisahau kuwaalika katika harusi kabambe ya mwanae MANCHESTER UNITED alipomuoa binti wa MZEE SCOLARY aitwae CHELSEA siku ya Jumapili iliyopita ambapo wasasambuaji hatari ambao wote ni mashoga wa bi harusi: Drogba, Lampard na Anelka walipagawisha sana kwa mauno yao huku wapambe Vidic, Rooney na Berbatov wakivuma na kuiependezesha harusi kwa shamrashamra.

Namnukuu Sir Alex Ferguson: “Ndugu, jamaa na marafiki niliosahau kuwaalika katika harusi hii iliyofana ya mwanangu Manchester msikonde kwani mwanangu anatarajia kuongeza mke pili aitwaye LIVERPOOL ambaye ni binti wa Mzee Bernitez na baada ya siku chache ataongeza mke wa tatu aitwaye ARSENAL ambaye ni binti wa MZEE WENGER. Wote mtakaribishwa tena bila kadi”

Mwisho wa kunukuu

Mr. Ahmed Viriyala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. We miss Ahmed Viriyala oops Mr Ahmed Viriyala.
    The last time i checked dume rijali Arsenal alishawapitia hao watanashati wote chelsea, na virgin liverpool.Na mtoto Man nae alishachapwa.Mtoto Liverpool bado anaplay hard to get si unajua tena sitaki nataka lakini atapatwa tu .Sikujua kama watanashati nao wanaruhusiwa kuoa, only in America.
    Kumbe hana UK wameshahalalisha same gender marriage.
    Haya hongereni MAN kwa harusi .....

    ReplyDelete
  2. Michuzi kwanini unaruhusu aina za utani ambazo zinadhalilisha mwanamke. Chelsea, Liverpool na Arsenal ni wanawake kwasababu wame assume subordinate position ambayo siku zote huyu mwandishi amekuwa akiiona ni ya mwanamke. Ohooooooo! Huyu jamaa anataka kuamusha hisia hata za wasio wapiga debe wa TAMWA. Ngoja tuweke mikakati

    ReplyDelete
  3. FERG amesahau kama mtoto wake ni shoga na ataolewa na mtoto wa benitez ,kwan umesahau mwanaume ndo anaenda kumchukua mke nyumbani kwa wakwe, kwa iyo rijal wa anfield anaenda kumchukua mke old traffold.

    ReplyDelete
  4. Hivi nasoma magazeti ya Global People/..... au blogu ya jamii.

    ReplyDelete
  5. ezza scolali upo hapo ushaposwa huku!

    ReplyDelete
  6. Manchester united wana ukimwi!

    ReplyDelete
  7. Mwambie Mr. Ahmed Viriyala kuwa Arsenal ni mtoto wa kiume wa Mr. wenger sio kama alivyodhania..!! Na kama anakumbuka vizuri kashawapitia watoto wengi tu wakishua wakiwemo Manchester wa anayekaa mitaa ya Old Trafford mtoto wa mzee Freguson na yule mtoto wa Mzee Scolari anayekaa Daraja la Stamford(sio Manzese)..!! Halaf kale kabinti ka mzee Benitez kanakunywaga tu bia zetu za bure(Carlsberg) sema kagumu kuingilika ila mara hii tunakapa offer ya kupanda ndege ya Emirate najua kataingia tu kichwa kichwa na kenyewe tunakamlizia mule mule..!! Hatuoi sisi watoto wa Emirate..!! Bado tupo tupo Bwana...

    ReplyDelete
  8. Bwana Michuzi,

    Kama utakuwa unakubali kuandika uppuzi wa namna hii katika blog yako, basi wengine tutashindwa kufika hapa. Assumption ni kwamba unafanya editorial kabla ya kuipost comment. Tafadhali rekebisha hii tabia ya watu wengine kudhalilisha au kutumia lugha chafu namna hii hapa. ASANTE

    ReplyDelete
  9. Tehe Tehe..
    Haya matani yanayofanana na ukweli utatolewa ngeu Viri!
    Najua hapo bwana michuzi mimacho imemtoka.alaf wewe Anon wa pili unaesema anadhalilisha wanawake acha uzushi, zis iz jast a joke bwana.Mbona michuzi majuzi kasema kipofu kaona mwezi baada ya kuwafunga chelski na hamkulalamika kuwa anawadhalilisha walemavu?

    Sometimes inabidi tufanye utani.
    Au sio bwana?

    ReplyDelete
  10. HUWA NINAKUCHUKULIA KAMA MODEL YA WANABLOGU HAPA TANZANIA KWA UANDISHI MAKINI NA HABARI MAKINI. kATIKA HILI, MICHUZI UMECHEMSHA! nAJUA NI USHABIKI LAKINI HII LUGHA SIO YA BLOGU HII...HII NI YA THE UTAMU!!

    -KAKA.

    ReplyDelete
  11. sijui kama atampata binti wa wenger kwani anadai asernal haolewi na mtu kihivyo masharti ni magumu na walinzi wa bintie wenger safari hii wamesema getini hapendiwi mtu hata aje nakibali cha kuoa toka kwa mama- 'malkia'nao wapambe wa binti wenger wakiongozwa na goliati wao Adebayor wamesema watamshawishi sana baba wa bi harusi asiruhusu mwali kutoka kwani bado wanahamu ya kuishi nae,habari ndo hiyo

    ReplyDelete
  12. we michuzi kabla ya kuweka utani humu lazima usome lugha iliyotumika kama ni sahihi! sasa neno kadinali si unajua wadhifa muhimu katika ukatoriki? na unahusisha na kukata "viuno" na "mashoga" wa bi harusi? tafadhali sana sana kuwa mwangalifu maana dini nyingine likitamjwa tu jina linahusiana na dini yao sehemu yenye utata basi ni shida kubwa, we appreciate your effort kutuburudisha lakini kuwa makini.

    ReplyDelete
  13. michuzi blog yako haina tofauti na ze utamu,matumizi mabaya ya lughaa ya kiswahili,muda sio mrefu utaweka picha za uchi.Michuzi ushabiki wa mpira sio ushabiki wa juu juu,ushabiki wa mpira ni dini.Viva la morinho.Aluta continua.TRUE BLUE FOR LIFE

    ReplyDelete
  14. hivi nyie raia wema mnaolialia kuhusu huo utani kulikoni????utani uko klini.na kwa wapenda soka huo wala sio upuuzi.kama posti siriazi zipo nyingi 2 humu hivyo si vibaya wansi in a waili wadau kutoa utani kama huo.tena hauko pesono.

    ReplyDelete
  15. kwa habari za kuaminika,Manure walishaolewa na LFC,wana wa "Kutotembea mmoja mmoja - YNWA".katabia hako ka LFC kutembea na "wengi" akiwemo binti mtanashati Cheski,kulimnyima sana usingiza binti Manure na hivyo kudai taraka.Manure akajakuolewa na yule mtengeneza Magobore "Arsenal" lkn kwa kuhofia maisha yake,akaachika pia.sinsi theni,binti Manure kaamua kuwa msagaji na ameshaanza kumdeti kicheche Cheski.
    yani job tru tru...........

    "LFC 4 LIFE"

    ReplyDelete
  16. Yaani wetu wengine bwana hamna hii kitu iayoitwa 'Sense Of Humor' ama niaje? Sijaona anything offensive humu ..!! Huyo anayedai Kadinali ni cheo kikubwa sana ,kwani humu mkionaga hizo comment kuhusu Uislam mnasemaga kwamba wana offend that religion? Tuongeeni kama watu wazima sometimes..!! Mara ngapi humu kuna jokes za vipofu, vichaa au machizi na hazichukuliwi offensive kwa walemavu kama alivyosema Navy..!! Na nyie mnaoongeleaga mambo ya utamu angalieni na mnao waambia, Bro Michu ni mtu mwenye heshima zake na mwenye familia zake so angalieni hayo maneno yenu..! Hebu wadau endelezeni libeneke la Premier League...!! Tujue nani mwali nani ndio hivyo..

    ReplyDelete
  17. Huu utumwa wa kushabikia timu za wengine utaisha lini? Kinyaa gani hiki?

    ReplyDelete
  18. HII NDOA YA DEMU KWA DEMU...
    HAWA WOTE WAWILI WALISHAOLEWA NA MZEE WA MABUNDUKI ARSENAL,SASA SIJUI ZIMEWAPANDA NINI WAMEAMUA KUOANA WENYEWE KWA WENYEWE!!
    INANIPA SHAKA!!
    KIDUME ARSENAL KINAKUNA NDEVU TU,LAZMA KITAKUWA KINASEMA,MADEMU BWANA!!!

    ReplyDelete
  19. Sidhani kama lugha iliyotumiaka hapa ni ya dharau. Lugha iliyotumika hapa na ya uficho.

    ReplyDelete
  20. Hivi mtu akikuambia ukiiga kunya kwa tembo utapasuka mkundu amekutukana au hayo ni matusi? Basi baraza la kiswahili lifute hiyo...hahahaha

    ReplyDelete
  21. Mimi sio mshabiki wa mpira kihivyooo.. lakini anon wa
    January 14, 2009 4:38 AM
    amenichekesha saana eti
    "KIDUME ARSENAL KINAKUNA NDEVU TU,LAZMA KITAKUWA KINASEMA,MADEMU BWANA!!!"

    Mhudumu mpe huyu anon Fwanta!!!!haha hahah

    ReplyDelete
  22. KWANZA KAKA MICHUZI BIG UP SANA KWASABABU TUUU MOJA KUBWA LEO WENGI WETU TUMEFURAHI ILA NI WACHACHE TUUU AMABAO SIJUI NI WATU WA AINA GANI WASIOJUA UTANI,WATU WANAPIGWA BAKORA SOMETIMES KWA AJILI YA UTANI WANATUKANWA MATUSI YA NGUONI KWA AJILI YA UO UTANI SASA HAPA MIMI KWA LEO SIJAKIONA KIBAYA KABISAAAAAAAAAAAAAAAA MICHUZI BIG UP MNOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO..... NI NGATUNGA ABDALLAH FROM TMK

    ReplyDelete
  23. dah michuzi kumbe upo pande zote kaka nimefurahi sana leo ila etiii wanasema utani wakoo umezidiiii punguza kidogo mi naona sawa sijui hao wanaosema umekosea watajiju.

    ReplyDelete
  24. Michuzi, tujifunze kutoka kwa wenzetu pia waliotutangulia katika medani hii ya mpira wa miguu tuache longolongo kwa kubwabwaya ushabiki wa mtaani, ebu angalia comment hizi zawanao jua hasa ushabiki wa mpira nini:


    Main CommentsSign in
    You need to sign in to contribute to this page. If you're new to BBC Blogs, creating your membership is quick and easy.

    Previous Next 1. At 12:33pm on 13 Jan 2009, kevthered83 wrote:
    This blog was kind of hidden away wasnt it. Funny nonetheless.

    I actually think Benitez has lost the plot, spouting facts that have all been proven inaccurate. If he had spent his week preparing for Stoke, rather than noting down nonsense on a sheet of A4, there may have been a better performance from his side.



    Complain about this comment

    2. At 12:34pm on 13 Jan 2009, scottsewell wrote:
    Fantastic blog yet again Robbo.

    I loved the S.E.T.A.N.T.A anagram, absolutely brilliant.

    The title is Man u's to lose now in my opinion.

    5 points off the lead, 2 games in hand, AT HOME, and they still have to play Arsenal and Liverpool at home in the league. I'll be surprised if they don't win a third straight title.

    Keep up the good work mate.

    Complain about this comment

    3. At 12:34pm on 13 Jan 2009, EdinburghPremFan wrote:
    Good blog again Robbo, and as a Man Utd fan living in Edinburgh I can't help but think Rafa's comments just play into Fergie's hands (as we've all seen before with Keegan and Newcastle's blown title chances after his infamous "I'd love it!!" rant

    Seriously when will these managers realise that Fergie thrives on the mind-games, and just to focus on getting their own teams motivated and playing well. Maybe stop leaving his two best strikers on the bench so much....Torres and Keane will come good this season yet, but I'm afraid the league is now Man Utd's to lose!

    Complain about this comment

    4. At 12:36pm on 13 Jan 2009, Samwell2804 wrote:
    Good Stuff again Robbo?!

    Ah memories of the Good Old Mourinho quote of calling Wenger a 'Voyeur' classic stuff?!

    Very amusing today

    loving the "Glasgow Beetroot" - very original

    also kudos on making something up for SETANTA?! - proof that you journalists have too much time on your hands?! hahaha

    Keep Up the Good Work

    Complain about this comment

    5. At 12:44pm on 13 Jan 2009, Samwell2804 wrote:
    kevthered83 - couldnt agree with you more about Benitez losing the plot ever so slightly by spouting off facts that arent actually facts?! silly silly man played right into the hands of fergie?!
    its so true that
    "Fergie could start a scrap in a Trappist monastery."
    the man could start a war of words with anything, but fair play to him as a few subtle words end up playing right into his hands?!
    Wenger, Benitez just don't like indulging in rough and tumble world of Fergies Schoolyard Fisticuffs antics?! best for them to just stay away and keep quite playing marbles in the corner of the yard or playing chess in the library







    Complain about this comment

    6. At 12:47pm on 13 Jan 2009, BCChris wrote:
    Yeh i didnt spot this blog yesterday when it says it was posted. Whats goin on BBC? The best blog on their site and they do not advertise or promote it whatsoever untill a day later.

    Anyway Robbo another very interesting blog mate. As for all this mind games nonsense, i love it, its so childish and pathetic to see these grown men saying the equivelant of 'My dads bigger than your dad', that you just have to laugh. It wouldnt be a title race without it realy.

    Complain about this comment

    7. At 1:13pm on 13 Jan 2009, potteringthrough wrote:
    Well Done, you managed to mention Stoke without mentioning Delap - That must be a first for you!

    I do enjoy your article to be fair and this one was no exception!

    Complain about this comment

    8. At 1:21pm on 13 Jan 2009, t_gebhardinho wrote:
    your right robbo - up the villa!

    Complain about this comment

    9. At 1:25pm on 13 Jan 2009, schnickelbop wrote:
    "... blasted down to Earth from the Planet Taggart..." - probably your best ever line. Well done.

    Complain about this comment

    10. At 1:27pm on 13 Jan 2009, MonsieurAbeille wrote:
    Even funnier than normal, top stuff.

    Personally think that the 'Pool will crumble - they rely too much on Gerrard and Torres, Big Phil will findthe answer to getting his pampered pets playing, and they become the main challenge to Man U.

    But to us that support teams in the murkier depths of the Football league (up the Barnet) , its all one big bouffanted soap opera anyway - about as close to real football as Big Bruvver is to Universally Challenged.

    ReplyDelete
  25. hamna hao wote ni wake zetu Chelsea for life,mtoto mdogo kumpiga kofi mtu mzima ni bahati mbaya sio kwamba mtu mzima anamuogopa huyo mtoto,na ndio maana hao wamefurahi saaaaaana ni sawa na jua kupatwa ndio inavotokea,

    Chelsea 4ever

    ReplyDelete
  26. ...Cant You People take a Joke and just let Go? Do you Have to be Serious at All time?? ndio maana mnazeeka haraka!! AAACHHEEENI HIZZOOOO....!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...