ngwasuma wakiwajibika mjini mtwara usiku wa kuamkia leo
baaaa... palikuwa hapatoshi...
Wazee wa ngwasuma usiku wa jana walikonga nyoyo za wapenzi wa miondoko ya ngwasuma chini ya prezidaa wao nyoshi el sadaat a.k.a 'sauti ya simba'
Palikuwa hapatoshi.
Haya ni mambo ya mdau wa mtwara John Mnamba anayeeendeleza libeneke kupitia:
mtembelee uone libeneke la kusini lilivyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...