Home
Unlabelled
njia ya mkato
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani mi kwa mawazo yangu nafikiri wangekuwa wanapanda either majani ama maua madogomadogo, maana haya maua na miti wanayopanda barabarani ni hatari sana kwa usalama wakati wa kuvuka, mfano huku Mandela Road maeneo ya shirika la nyumba huwezi kuvuka bila kuchungulia, kuna maua na miti ambayo sijui kama ilishawahi kupunguzwa tangu ipandwe.
ReplyDeleteKibajaji.
ivi wee mtoa mada,,sie tuna sheria ya J-walks???hatuna kitu kama icho Tz so popote ni njia ilimradi unapita tu,waliojenga hawakuweka uzio na wakiweka tunabeba sklepaz,,hahahaaaaaa so tutapita tu kufupisha umbali.pale surrender brigde tu tunavuka sembuse mitaani??
ReplyDeleteata chini ya transforma zilizojaa makazi ya watu.
KWA NINI UVUKE KWENYE MITI AU MAJANI, UNATAKIWA KUVUKA KWENYE ALAMA YA PUNDAMILIA/ZEBRA CROSSING. SI TABIA NZURI YA SHORT CUTS, KWANZA NI HATARI KWA UHAI WAKO UNAWEZA KUGONGWA NA GARI UNAPOINGIA BARABARANI A HUNA RIGHT HAPO YA KUSHINDA MAHAKAMANI. MITI NI MUHIMU KWA HEWA NA VIVULI PAMOJA NA KUPENDESHEZA MJI.
ReplyDeleteMimi labda nina makengeza huyu jamaa si kama anavuka bali anakatisha/anapita katikati ya tengemesho la barabara.Hii kitu sijui hata kama patakauwa na Polisi 20,000 sijui kama kitakoma.Mtazidi kupigwa pasi na kuuwana barabarani.
ReplyDeleteMaua yenyewe mwee!!
ReplyDeleteBrela chief: EPA scam suspects forged my signature
ReplyDelete2009-01-28 10:38:18
By Guardian Correspondent
Business Registration and Licensing Agency (Brela) CEO Esteriano Mahingira told a Dar es Salaam court yesterday that Kiloloma and Brothers Company partners forged his signature to facilitate the theft of 1,864,949,294.45/- from the Bank of Tanzania`s External Payment Arrears (EPA) account.
Mahingira made the allegations in the Kisutu Resident Magistrate`s Court before a panel of three magistrates led by Cypriana William, the others being Saul Kinemela and Focus Bampikia.
The Brela chief said his office registered a company known as Kiloloma Bros Enterprises, situated in Iramba Street Magomeni House Number 7, on April 14, 2005.
Elaborating, he told the court that the Kiloloma and Brothers Company partners forged documents bearing his signature and dates to those of a genuine company whose name he gave as Kiloloma Bros Enterprises.
Mahingira said his office never registered Kiloloma Brothers, whose available documents show that accused Rajabu Maranda and Farijala Hussein were the partners authorised to operate.
There was also nothing showing that Kiloloma and Bros had officially sought to have its named changed as required by regulations governing company registrations, he added.
In the main case, Maranda and Hussein stand charged with conspiracy to forge a company`s name and stealing 1,864,949,294.45/- from the central bank account in 2005. The case resumes today.
SOURCE: Guardian
MAU YANAYOPENDEZA NI YALE YALIYOPANDWA KWA MPANGILIA NA YANATUNZWA, UTAMADUNI HUO SISI HATUNA KWANI NI WACHAFU WA ASILI.
ReplyDeletewajenzi wa barabara wanasahau watembea kwa miguuu hivyo hawana la zaidi la kufanya bali kutumia akili kichwani kwao....overpass ziko...kama zipo wapita njia wakulaumiwa kama hamna basi wasilaumiwe
ReplyDelete