Habari yako kaka Michuzi,
ebwana leo naangalia bbcnews24 nikaona huyu jamaa anafanana na Obama kama wamezaliwa tumbo mboja vile.. Amakweli duniani wawili wawili...Link zaidi hii hapa... au google uone videos za jamaa

photoViewer=/090120/ids_photos_wl/r2943817669.jpg
Naambatanisha picha uwaanikie wadau..
Kazi njema.
Mdau UK.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Acha UZUSHI,

    Huyo ni huyohuyo OBAMA,

    Hakuna cha pacha wala nini,

    Kama unabisha angalia Meno.


    MUOSHA KINYWA ORIGINAL

    ReplyDelete
  2. Hii inatukumbusha Carlos Raminez 'The Jackal' na Mohammed Baoudia walivyofananishwa kama mapacha na kusababishwa mmoja wapo kufuatiliwa na majeshi ya kuzuia ugaidi.

    Carlos Tha Jackal alikuwa raia mzaliwa wa Venuzuela wakati Mohammed Baoudia alikuwa raia mzaliwa wa Algeria.

    Carlos sasa hivi yuko gerezani Ufaransa kwa ugaidi na Mohammed Baoudia aliuwawa na majasusi wa Israeli.

    ReplyDelete
  3. Muosha Kinywa Original wacha uvivu wa kutafiti, bonyeza kwenye hiyo link utaona ukweli. Huyu jamaa yupo, ni mwanahabari - Mpiga picha, yupo Indonesia. Wacha ku-comment kabla hujafanya utafiti wa kutosha. Ingia kwenya link ujionee. Shukrani kwa aliyetuletea hii habari.

    ReplyDelete
  4. safi sana
    naskia ni mu-indonesia alikosomea obama,,,na vijana wa kiislamu na ndugu wa kiislamu (by aroub othman-lecturer wa udsm jana BBC)

    ReplyDelete
  5. Michuzi fanya uchunguzi kuna yule wa bongo mvalisheni suti basi naye umuweke hapa. na kuna wa Cuba Obama na kuna wa England ndio kawapita wote hawa. watafute hao tuwekee hapa.

    ReplyDelete
  6. Kuna siku(wakati wa preliminary campaign) stesheni ya ABC hapa Philly walionyesha jamaa mwingine anafanaye na Obama.Huyu toka Indonesia anafanana karibia kila kitu na Obama kuliko niliyemwona.

    ReplyDelete
  7. Wewe hapo juu, mbona unabisha... acha hizo. Angalia picha kwa karibu, huyo jamaa mwengine sio Obama. Obama ana chunusi upande wa kushoto juu ya pua, huyu jamaa hana. Hair line yake na ya Obama hazifanani, pua hazifanani.. n.k n.k...

    Kabla yakubisha check your facts...

    ReplyDelete
  8. nimerudi na link ya jamaa mwingine anayefanana na Obama
    hii hapa http://latimesblogs.latimes.com/washington/2008/08/obama-look-alik.html
    nadhani sio wawili-wawili ni wawili na kuendelea

    ReplyDelete
  9. Michuzi hamtuweziiiiii

    £125m deal fits for Man Utd

    MANCHESTER UNITED are out to land a new £125million shirt sponsorship deal — with Saudi Telecom favourites to get their name on the famous shirt.
    AIG yesterday confirmed they would not be renewing their £19m-a-year sponsorship deal at the end of next season.

    The firm has collapsed in the credit crunch and had to be propped up by the US taxpayer.

    Saudi Telecom, the leading provider of telecommunications in Saudi Arabia, have no such problems.

    They are desperate to increase their influence with United, who are massive in the Middle East.

    Saudi Telecom already have a £15m, five-year deal with the club to use United’s branding with their products inside their own country.

    But the prospective shirt sponsorship deal will dwarf AIG’s and be worth £25million a year over five years.

    Saudi Telecom has also expanded into Malaysia, Indonesia and South Africa, where United have huge support as well. The club will be in Malaysia in the summer as part of their pre-season tour.

    A United spokesman said: “Manchester United is exploring the possibility of a shirt sponsor for the 2010-11 season.

    “The club is in dialogue with a select number of top companies worldwide and has so far received sufficient interest to be confident it can improve on its £19m annual partnership with AIG.”

    United have also made contact with Indian financial services corporation Sahara.

    ReplyDelete
  10. wewe hapo juu mhhh.. mana nlichoka nlivosoma hiyo comment yako,hivi uko dunia hiihii au?..
    hua unapitia hivi vyombo vya habari au kazi yako music tu,sasa unabisha nini,hebu open hiyo link sio kubishabisha vitu kama mjinga vile,hivi hua kwenye internet hua unafanya nini hasa... mana kama hata vitu vidogo km hivi vinakupita jee yanayoendelea middlle east na russia si ndio kabisa uko zero ....
    nway kwa taarifa yako jamaa ni from indonesia tena ni journalistlist,jina lake ni Ilham Anas.. upo hapo!!!
    kwa kukuzibua mishipa yako ya akili nakushauri uwe unasoma vitu vya maana sio unafanya upuuzi ukiingia kwenye internet...
    umeniboaaa mh..
    shen***..
    plse michu ucnibanie mana ndio mara yangu ya kwanza na nataka huyu jamaa aelewe....

    ReplyDelete
  11. http://www.ireport.com/docs/DOC-193607 Michuzi tizama hiyo hapo alafu niambieni huyo wa California ila kuna wauwengereza naye kafanana vibaya sana.

    ReplyDelete
  12. Nadhani mama Obama alichepuka pembeni.Huyo obama siyo wa mjaluo labda ila ni wa muindonesia.

    ReplyDelete
  13. Obama apigwe DNA, siyo mkenya ila ni mtu wa Indonesia. Baba wa huyo jamaa anayefanana na Obama atafutwe na aulizwe analikuwa na uhusiano gani na mama yake Obama.

    ReplyDelete
  14. WATANZANIA TUPENDE KUSIKILIZA NA KUANGALIA TAARIFA ZA HABARI BADALA YA KUBISHA JAMBAO TUSILOLIJUA, (OBAMA) PACHA NI MZALIWA WA CUBA NA ALIONESHWA NA CNN WAKATI WA MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHAKE. HUYU (OBAMA) NI MCHEKESHAJI (COMEDIAN).

    ReplyDelete
  15. uyo mzungu "mama obama" alikua totoz la midume ile kinoma yani mwanamke kawatesa wababa wa watu?alipenda kuzaa sana ktk kila taifa nini?atoe mchanganyiko murua,,hahaa
    kazaa kenya,
    kazaa indonesia,
    kazaa hawaii,
    kazaa amerika,
    kazaa -------

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...