Home
Unlabelled
salamu toka porto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante kwa salamu baba Niba,masomo mema.
ReplyDeleteDossa Applicable zimefutwa ndiyo mnakumbuka kusoma sasa eenh, ila poa safi sana kaza buti. Mi nakutakia mafanikio mema tu mshikaji nafikiri strategy ya kuzifuta Appl imesaidia watu kukimbilia shule sasa.
ReplyDeleteyaani kusoma tuu mpaka uzeeke???na kweli elimu haina mwisho!!!
ReplyDeleteJILASI HAITATUFIKISHA PAZURI
ReplyDeleteinaonekana huyu mdau yupo ulaya kushangaa barafu.utarudi na nguo za baridi tuu.wenzako tunaosha vyombo ,tunazichanga.
ReplyDeletehahahaaa kweli Doriye kafanya mambo!! Yaani Dossa umekuwa mwanafunzi mtiifu? Jitahidi Arawa hwenda applicable zikarudi. na huko sijui kama kuna boksi!! poa kaka piga shule
ReplyDeleteWewe unaesema kaja kushangaa barafu ni mtumwa kabisa. Huwezi kuzichanga kwa kuosha vyombo unaweza kupata hela za kuendesha maisha yako tu. Huyu anaeshangaa barafu kama ulivyosema atamaliza masomo na atafanya kazi ya maana ambayo itamlipa hela kwa mwezi na wewe ukamuoshee vyombo akulipe na isiishe. Mpuuzi mkubwa wewe nenda kasome
ReplyDeleteATAFANYA kazi huko wapi ya hela nyingi hadi amuajiri huyo muosha vyombo??!!bongo au????bongo labda akawe fisadi ndio ataweza kumuajiri wa kumuoshea vyombo lkn hapo anaposoma au ulaya nyingine yeyote ile akitaka kazi itabidi na yeye aoshe hivyo vyombo pia,tunao wengi waliomaliza kazi wakarudi home kwa mbwembwe sasa wanataka waje waoshe hivyo vyombo huku bongo moto unawaka kama sio fisadi mshahara wa laki4 kwa mwezi na elimu yako yote hio ya 7yrs nafuu nioshe vyombo aisee
ReplyDeleteMdau Porto,
ReplyDeletewe kula nondo yako bwana kwa raha zako. Embu niambie, Tanzania inatoa wanataalamu wenye PhD kila mwaka wangapi? Changamoto ya nchi ili isonge ni kuwa na professionals wengi kama mdau. Inventors and innovators of Tanzanian technology are important to our development.
Hongera mdau kwa kupiga hatua.
Mdau,
Sinza kwa remi
Safi sana Bro kwa kula Nondozz! ila siku nyingine uache tabia ya kupanda viukuta wakati wa kupiga picha, ukiendelea nayo utajikuta siku moja unapanda fensi ili kupiga picha. Ni mtazamo tu jamani msinimeze. Salamu zao Porto!
ReplyDeletesafi sanaaa kaka, mambo vipi rafiki, big up sana kaka, mambo ya telekom sio, fuleshi sana. Wakilisha taifa. Mama Niba uko nae?
ReplyDeleteNa we mdau unaofkiri bongo watu bado wanalipwa hela mbuzi kama una ujuzi, ulizia tena sources zako. Hujui saivi watu kibao wanarudisha timu. Piga au garagaza, sioshi chombo cha mtu (labda wakati mgeni ulaya).
Neiba chini kati.
nondoz ya tatu? yaani ushakula mbili na bado unataka ya tau? kwa nini hamtuachii nasi tunaohangaika kupata scholarship kusoma nondoz za kwanza?
ReplyDeleteWe anonymous 4:04 acha kijidanganya na kumbukumbu zako za kizamani eti laki 4, watu wanapeleka home zaidi ya milioni mbili plus baada ya kulipa kodi na social security funds. kaka kazana na shule achana na hao waliokwisha haribu na hawataki kukubali hali halisi na kutafuta mbinu ya kujinasua. Tafuta pesa uje home kidogo ufanye tafiti za vijana wanavyozichanga kutokana na shule zao.
ReplyDelete