Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya SOMA Demere Kitunga akiongea
na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Idara ya Habari kuhusu uzinduzi wa
Jarida la SOMA Utakaofanyika kesho katika ofisi zao zilizopo Mikocheni jijini
Dar es Salaam. Kushoto ni Mhariri wa jarida hilo Fatuma Bapumia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mswahili hebu acha 'discrimination hapo'yaani kiti chako mbona kikubwa na cha huyo bibi wa kihindi ni kadago...ubaguzi hata hapo!!!

    ReplyDelete
  2. hehehe you are funny...when I looked at mama wa kihindi...I did not see the small Chair...
    keep up the good job to show all races in your blog!

    ReplyDelete
  3. Mimi nimemzimia sana huyu dada wa kihindi. tupe digits basi Balozi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...