pedejee kamna, mmoja wa wakereketwa wa klabu ya simba, akiwa ametinga tai ya obama, kuoenesha kuwa wabongo wako shap katika kutungua vitu latest

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Huyu mzee amefanana sana na Mhe Mrema Lyatonga, wakati ule alipokuwa akitingisha Bongo Land!!!!!

    ReplyDelete
  2. Sijui ni Tai yenyewe, ilivyofungwa, mvaaji, mpiga picha, camera au position...lakini something is not right...tie inaonyesha kama imemvaa si yeye aliyeivaa...!! Hongera bwana..!!

    ReplyDelete
  3. Mtabakia hivyo hivyo na Tai ya Obama

    ReplyDelete
  4. Mzee ana sura ya kiduwanzi ile mbaya..!!

    ReplyDelete
  5. Michuzi bwana acha utani, huo u-pedeshee uko wapi hapo jamani keh!

    ReplyDelete
  6. Hamna kasoro yoyote na tai au uvaaji wa tai hiyo, imekaa perfect kabisa.

    ReplyDelete
  7. Huyu mzee amependeza sana, tena ni mfano wa kuigwa na hasa kwa wale wenzangu na mimi tusiopenda kunyosha nguo zetu (pasi!!!) huyu anafaa kabisa kuwa afisa wa elimu ili wanafunzi waiige mfano mzuri wa kunyoosha nguo zao (pasi!!!!)

    ongera sana, naona hata wafanyakazi wa bank donge limewashika.


    Mdau - united of king dom!!!

    ReplyDelete
  8. huu mtindo wa kujaza makolokolo kwenye mfuko wa shati unanikerebisha get it rite old fella

    ReplyDelete
  9. Obama amesha sema msitegemee sana toka kwake kwahiyo kazi kwenu jipendekezeni lakini juhudi na jitihada mzifanye wenye

    ReplyDelete
  10. Dingi amekolea, lakini inaoneka ni mtu wa masanga kichizi, tazama uso ulivyo kongoroka. Pia hicho kitambi chake cha uji wa ulezi ni burudani, na jinsi alivyofunga mkanda, inaelekea ni moto chini. Anyway, ametoka chicha ila pozi mgogoro.

    Kwaheri.

    FITINA MCHANA

    ReplyDelete
  11. huyu mzee ilitabasamu lake ni matata mmh!! Waziri wa mambo ya ndani mpe kazi ya ukamnda wa dsm majambazi na mafisadi wakome!!!!

    ReplyDelete
  12. "jinsi alivofunga mkanda inaelekea moto chini"annon 3.16pm
    hahahahahaaaaa teh teh teh kwi kwi
    dah wee annon ulosema ivo u make my day dah!!
    hahahahaaaaaa,sasa ndo nini wee michu ulimlipa ngapi kwa pozi ilo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...